-
Rais wa Equatorial Guinea aitisha 'mdahalo wa kitaifa' baada ya majaribio ya mapunduzi
Jun 12, 2018 09:51Rais Teodoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea ameitisha mdahalo wa kitaifa, baada ya kufeli majaribio kadhaa ya mapinduzi dhidi ya serikali yake.
-
Nkurunziza asema hatogombea urais nchini Burundi mwaka 2020+SAUTI
Jun 07, 2018 11:00Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi ametangaza kuwa hatagombea urais katika uchaguzi ujao wa mwaka 2020, licha ya katiba mpya aliyoiidhinisha hii leo kumpa kibali cha kusalia madarakani hadi mwaka 2034.
-
Upinzani Ivory Coast: Hatutaruhusu Ouattara agombee muhula wa tatu
Jun 04, 2018 22:37Muungano wa upinzani nchini Ivory Coast umesema hautaruhusu mpango wowote wa kumruhusu Rais Alassane Ouattara wa nchi hiyo kugombea muhula wa tatu.
-
Rais Assad: Wanajeshi wa Marekani lazima tutawatimua Syria
May 31, 2018 10:15Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, Wamarekani lazima watoke Syria na wanapaswa kupata funzo kutokana na yaliyowafika nchini Iraq
-
Rais wa Syria: Tusi la 'hayawani' alilotumia Trump linamaanisha hakika ya yeye mwenyewe
May 31, 2018 03:02Rais Bashar Al-Assad wa Syria amesema kuhusu lugha ya matusi aliyotumia rais wa Marekani kuhusiana na yeye kwamba: Maneno hayo yanadhihirisha shakhsia ya Trump; na ni mtu wa aina yake yeye tu ndiye anayetarajiwa kutumia lugha ya aina hiyo.
-
Chama tawala DRC chamuandalia Kabila mazingira ya kugombea muhula wa tatu
May 30, 2018 03:00Chama tawala katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kimemuandalia Rais Joseph Kabila wa nchi hiyo mazingira ya kugombea urais kwa muhula wa tatu, licha ya lalama na makelele kutoka vyama vya upinzani.
-
Mazungumzo ya kuunda serikali mpya yanaendelea nchini Iraq
May 23, 2018 10:01Rais Fuad Masum wa Iraq na ujumbe wa Umoja wa Kitaifa wa Kurdisan leo wameitisha kikao cha kujadili uchaguzi wa hivi karibuni wa nchi hiyo na njia za kushirikiana makundi ya Kikurdi na mirengo mingine bungeni.
-
Rais wa Madagascar asema wapinzani wanataka kumpindua
Apr 23, 2018 03:27Rais wa Madagascar amewaonya vikali wanasiasa wa upinzani wanaochochea kile anachokitaja kama njama za kumpindua madarakani na kusisitiza kuwa serikali itawachukulia hatua kali za kisheria.
-
Rais wa Ufilipino atishia kumkamata Mwendesha Mashtaka wa ICC
Apr 14, 2018 02:39Rais wa Ufilipino amesema atamtia mbaroni Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, iwapo atatia guu katika nchi hiyo kwa ajili ya kuchunguza tuhuma zinazomkabili rais huyo.
-
Rais wa Misri arefusha hali ya hatari kwa miezi mingine mitatu
Apr 14, 2018 02:31Rais Abdul Fattah al-Sisi wa Misri ametangaza kurefusha muda wa hali ya hatari nchini humo kwa miezi mitatu mingine ambao ulianza kutekelezwa mwezi Aprili mwaka jana baada ya kujiri mashambulizi makubwa dhidi ya makanisa.