-
Serikali: Tutamkamata na kumshtaki Yahya Jammeh akirejea Gambia
Jan 21, 2020 07:41Serikali ya Gambia imetishia kumkamata na kumfungulia mashitaka rais wa zamani wa nchi hiyo aliyeng'olewa madarakani Yahya Jammeh iwapo atatia mguu nchini humo kutoka uhamishoni Equatorial Guinea.
-
Rais wa Gambia aapa kuwaadhibu wafanyamagendo ya binadamu baada ya ajali mbaya ya boti
Dec 08, 2019 07:13Rais Adama Barrow wa Gambia ameahidi kuwaadhibu wafanyamagendo ya binadamu, kufuatia vifo vya makumi ya watu waliozama baharini baada ya boti waliyoabiri ndani yake kupinduka katika pwani ya Mauritania wakati ikijaribu kufika barani Ulaya.
-
UN yataka kuungwa mkono juhudi za kukabidhiana madaraka kwa amani nchini Gambia
Jul 18, 2017 07:40Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa magharibi mwa Afrika ameitaka jamii ya kimataifa kusaidia juhudi za kukabidhiwa madaraka kwa njia ya amani nchini Gambia.
-
Rais mpya wa Gambia azidi kuandamwa na mashinikizo
May 28, 2017 06:56Matatizo na mashinikizo yamezidi kumwandama rais mpya wa Gambia kutokana na kushindwa kutangaza makamu wake.
-
Barrow: Vikosi vya kieneo kusalia Gambia kwa miezi mitatu zaidi
Feb 09, 2017 07:23Vikosi vya kieneo vya mgharibi mwa Afrika vilivyotumwa nchini Gambia kuhakikisha usalama katika mchakato wa kushika madaraka serikali mpya ya nchi hiyo, vitasalia nchini humo kwa muda wa miezi mitatu zaidi.
-
Mjumbe wa UN awasili Gambia baada ya Rais Barrow kurejea nchini
Jan 27, 2017 04:39Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Gambia amewasili katika nchi hiyo ya Kiafrika kwa ajili ya mazungumzo na viongozi wa serikali mpya ya Banjul.
-
Rais Barrow arejea Gambia, ataka kikosi cha kieneo kibakie nchini miezi 6
Jan 26, 2017 14:08Rais mpya wa Gambia Adama Barrow amerejea nchini kwake leo Alkhamisi akitokea nchi jirani ya Senegal, ambayo alilazimika kuigeuza kimbilio lake tangu Januari 15, akihofia usalama wake.
-
Rais Barrow atangaza makamu wake mwanamke akiwa Senegal
Jan 24, 2017 06:34Rais mpya wa Gambia Adama Barrow amemteua kiongozi wa wanawake wa muungano wa upinzani uliomsaidia kuingia madarakani, kuwa makamu wake.
-
Rais Yahya Jammeh wa Gambia akubali kukabidhi madaraka
Jan 20, 2017 04:25Baada ya kutokea mivutano mikubwa ya kisiasa, hatimaye Rais Yahya Jammeh wa Gambia amekubali kuondoka madarakani.
-
Bunge la Gambia lamuongezea Jammeh miezi 3, Nigeria yatuma manowari
Jan 18, 2017 16:40Bunge la Taifa la Gambia limepasisha azimio la kumruhusu Rais Yahya Jammeh wa nchi hiyo asalie madarakani kwa miezi mitatu zaidi katika hali ambayo muda wake wa kuhudumu unaelekea kumalizika.