-
Morocco: Jammeh astaafu baada ya kumalizika muda wake wa urais
Jan 18, 2017 07:30Serikali ya Morocco imemtaka Rais Yahya Jammeh wa Gambia atumie fursa iliyopo kustaafu kwa amani baada ya kumalizika muhula wake wa uongozi.
-
Barrow ataka sherehe za kuapishwa kwake zifanyike kama ilivyopangwa, Gambia
Jan 18, 2017 04:10Rais mteule wa Gambia amesema kuwa, sherehe za kuapishwa kwake kama rais mpya wa nchi hiyo zinapaswa kufanyika kama ilivyopangwa.
-
Umoja wa Afrika: Kuanzia Januari 19 hatutamtambua tena Yahya Jammeh kama Rais wa Gambia
Jan 14, 2017 04:21Umoja wa Afrika AU umetangaza kuwa, kuanzia tarehe 19 ya mwezi huu wa Januari hautamtambua tena Yahya Jammeh kama Rais wa Gambia.
-
Adama Barrow asema yuko tayari kufanya mazungumzo na Jammeh
Jan 13, 2017 08:07Mshindi wa uchaguzi wa Rais nchini Gambia, Adama Barrow amesema yuko tayari kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Rais Yahya Jammeh, ambaye alipinga matokeo hayo.
-
Mahakama kusikiliza ombi la Jammeh, Ecowas kurejea Gambia kesho
Jan 10, 2017 08:16Mahakama ya Kilele ya Gambia inatazamiwa hii leo kuanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais iliyowasilishwa na Rais Yahya Jammeh anayetaka matokeo ya uchaguzi yabatilishwe.
-
Nigeria: Viongozi wa ECOWAS kutoa 'uamuzi mkubwa' juu ya Gambia
Jan 07, 2017 08:06Viongozi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) wanatazamiwa hii leo kutoa kile kilichotajwa kuwa 'uamuzi mzito' kuhusiana na mgogoro wa kisiasa unaoikabili Gambia
-
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Gambia akimbia nchi baada ya kutishiwa maisha
Jan 04, 2017 07:10Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Gambia amekimbia nchi akihofiwa usalama wake.
-
Rais wa Gambia aituhumu ECOWAS kuwa imemtangazia vita
Jan 02, 2017 04:20Rais Yahya Jammeh wa Gambia ameishutumu Jumuiya ya Uchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS kuwa imemtangazia vita baada ya kutangaza kuwa inaviweka vikosi vyake ya jeshi katika hali ya tahadhari endapo kiongozi huyo atakataa kuondoka madarakani baada ya muhula wake wa uongozi kumalizika mnamo mwezi huu.
-
Rais mteule wa Gambia amtaka Yahya Jammeh akabidhi madaraka ya nchi kwa amani
Dec 28, 2016 07:56Rais mteule wa Gambia ambaye alishinda katika uchaguzi wa mwanzoni mwa mwezi huu amemtaka Rais Yahya Jammeh akabidhi madaraka ya nchi kwa amani pindi muhula wake utakapomalizika mwezi ujao.
-
Ecowas: Ikibidi, tutatuma askari wa kieneo nchini Gambia Januari
Dec 24, 2016 04:50Viongozi wa wawakilishi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) wametishia kutuma vikosi vya kieneo nchini Gambia, iwapo Rais Yahya Jammeh atakaa kukabidhi madaraka wakati muda wake utakapiomalizika rasmi Januari 19 mwakani.