-
Zarif: Iran inataka kuimarisha zaidi ushirikiano na Russia
Mar 28, 2017 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inataka kuimarisha zaidi uhusiano wa kisiasa na kiuchumi na ushirikiano wa kikanda na serikali ya Moscow.
-
Rouhani: Ushirikiano wa Iran, Russia unaweza kuleta usalama kieneo na kimataifa
Mar 27, 2017 23:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Tehran na Moscow unazidi kustawi na kuongeza kuwa, Iran inakaribisha kuimarishwa uhusiano wa kina na nchi jirani ikiwa ni pamoja na Russia.
-
Rouhani: Uhusiano wa Iran na Russia ni kwa manufaa ya eneo hili zima
Mar 27, 2017 09:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili leo Moscow, mji mkuu wa Russia akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa Iran kwa ajili ya ziara rasmi ya siku mbili.
-
Balozi: Kiongozi Muadhamu, Rouhani wanaupa umuhimu uhusiano wa Iran na Russia
Mar 26, 2017 03:44Balozi wa Iran mjini Moscow amesema Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Rais Hassan Rouhani wanaupa umuhimu mkubwa na wa kipekee uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia na wanataka kuuona ukiimarika.
-
Russia: CNN ni chombo cha propaganda za Marekani
Mar 25, 2017 22:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa televisheni ya CNN ya Marekani imekuwa chombo cha kueneza propaganda za kisaisa za nchi hiyo.
-
Uungaji mkono kwa Trump waendelea kupungua licha ya madai yake dhidi ya Obama
Mar 20, 2017 23:46Taasisi ya uchunguzi wa maoni ya Gallup nchini Marekani imetangaza kuwa uungaji mkono wa wananchi kwa rais wa nchi hiyo Donald Trump unaendelea kupungua sambamba na kuendelea kuibuka kashfa zinazohusiana na sakata la kuwepo mawasiliano kati ya timu yake ya kampeni na Russia katika kipindi cha kampeni za uchaguzi uliopita na vilevile kuhusu madai yake ya kudukuliwa mazungumzo yake ya simu na mtangulizi wake Barack Obama.
-
Kupamba moto vita vya vyombo vya habari kati ya Russia na Marekani
Mar 20, 2017 04:48Bunge la Russia limeunga mkono pendekezo lililotolewa kuhusu kufanyika uchunguzi kuhusu vyombo vya habari vya Marekani vinavyofanya kazi huko Russia.
-
Russia yamuita Balozi wa Israel kuhusu shambulio dhidi ya Syria
Mar 18, 2017 03:40Russia imemuita Balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini Moscow ajieleza kuhusu hatua ya jeshi la utawala huo kuhujumu anga ya Syria sambamba na kutekeleza mashambulizi kadhaa katika ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kuongezwa muda vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia
Mar 15, 2017 09:49Jumatatu iliyopita Umoja wa Ulaya, ulitangaza kurefusha vikwazo kwa muda wa miezi sita mingine dhidi ya shakhsia na mashirika kadhaa ya Russia na eneo la Crimea, yaani hadi tarehe 15 Septemba mwaka huu.
-
Jaberi Ansari: Mazungumzo ya Astana kuhusu Syria yanaendelea kupiga hatua
Mar 14, 2017 22:58Mkuu wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria amesema mazungumzo hayo yanaendelea kupiga hatua.