-
Jaberi Ansari: Mazungumzo ya Astana kuhusu Syria yanaendelea kupiga hatua
Mar 14, 2017 22:58Mkuu wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria amesema mazungumzo hayo yanaendelea kupiga hatua.
-
Russia yamuunga mkono kamanda wa jeshi la Libya
Mar 14, 2017 04:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Kamanda wa jeshi la taifa la Libya wamefanya mazungumzo kuhusu kuendeleza ushirikiano wa kijeshi kati ya pande mbili.
-
EU yarefusha vikwazo dhidi ya Russia
Mar 14, 2017 01:00Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa umerefusha vikwazo vilivyowekwa na umoja huo kwa shakhsia na mashirika ya Russia na eneo la Crimea kwa muda wa miezi sita yaani hadi kufikia Septemba 15.
-
Russia: Tunapinga pendekezo lolote la kutaka kuiondoa madarakani serikali ya Syria
Mar 05, 2017 00:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, njama za baadhi ya nchi zenye lengo kupatikana mabadiliko katika suala la mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Syria kupitia mabadiliko katika muundo wa serikali ya Damascus, ni suala lisilokubalika.
-
Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia katika kipindi cha utawala wa Trump
Mar 01, 2017 03:51Sergei Ryabkov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, hivi sasa Marekani bado inaendeleza njama zenye lengo la kushadidisha mzingiro wa kiuchumi na vikwazo dhidi ya nchi yake.
-
Russia yasema itapiga kura ya veto dhidi ya muswada wa Baraza la Usalama kuhusu Syria
Feb 25, 2017 03:47Russia imetangaza kuwa, itatumia kura ya veto kupinga vikwazo vya aina yoyote ile vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Syria kwa madai kwamba nchi hiyo imetumia silaha za kemikali.
-
Russia: Makombora yetu yana uwezo wa kupenya kirahisi ngao za Marekani
Feb 20, 2017 00:44Naibu Waziri Mkuu wa Russia katika masuala ya ulinzi amesema kuwa, Moscow inatengeneza makombora ambayo yana uwezo wa kupenya kirahisi ngome za kujilinda na makombora za Marekani na kupiga kulikokusudiwa.
-
Merkel: Russia na Waislamu wajumuishwe katika vita dhidi ya ugaidi
Feb 19, 2017 04:13Kansela wa Ujerumani ametoa mwito wa kushirikishwa Russia na Waislamu katika kukabiliana na jinamizi la ugaidi.
-
Russia: Hakuna chochote kinachoweza kuvuruga uhusiano wa Tehran na Moscow
Feb 17, 2017 23:09Sergei Ryabkov, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema uhusiano wa pande mbili wa nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hauwezi kuyumbishwa wala kuathiriwa na 'nguvu za nje' au upande wa tatu.
-
Russia yatilia mkazo kusimamishwa ujenzi wa vitongoji wa utawala wa Kizayuni
Feb 12, 2017 12:19Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametaka kusimamishwa ujenzi iwa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.