-
Russia yasisitiza kutekelezwa makubaliano ya JCPOA
Feb 10, 2017 11:51Balozi wa Russia nchini Marekani amesisitiza udharura wa kutekeleza makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya kundi la nchi 5+1 na Iran yaani JCPOA.
-
Iran, Russia, Syria, Hizbullah zina msimamo mmoja katika vita dhidi ya ugaidi
Feb 09, 2017 00:36Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, ndoto za baadhi ya watu za kutamani kushuhudia mivutano katika msimamo wa pamoja wa Iran, Russia, Syria na Hizbullah katika vita vya ugaidi, hazitaagulika.
-
Russia yakanusha kuuliwa wanajeshi wake Syria
Feb 05, 2017 23:12Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amekanusha ripoti iliyotolewa kuhusu kuuliwa wanajeshi wake huko Syria.
-
Shamkhani: Iran imedhamiria kufuatilia ufumbuzi wa kisiasa kwa ajili ya Syria
Feb 05, 2017 10:43Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuhusu wasiwasi walionao viongozi wa baadhi ya nchi za eneo hili kuhusu ubunifu wa kisiasa wa pande tatu za Iran, Russia na Uturuki kwamba wasiwasi huu unatokana na kudhoofika makundi ya kigaidi.
-
Russia: Tutatoa msaada wa kijeshi kwa Cameroon kukabiliana na Boko Haram
Jan 29, 2017 00:22Serikali ya Russia imesisitizia udharura wa kuungwa mkono kijeshi juhudi za serikali ya Cameroon kwa ajili ya kupambana na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini humo.
-
Jumatatu 23 Januari, 2017
Jan 23, 2017 02:07Leo ni Jumatatu tarehe 24 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 23, 2017.
-
Serikali ya Russia yaafikiana na Trump kuhusu NATO
Jan 16, 2017 23:33Ikulu ya Russia (Kremlin) imetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo inaafiki mtazamo wa Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwamba Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) umepitwa na wakati.
-
Russia: Wamagharibi wanakwamisha mapambano dhidi ya ugaidi wa silaha za kemikali
Jan 14, 2017 23:08Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa baadhi ya nchi za Magharibi zinakwamisha mapambano halisi dhidi ya ugaidi wa silaha za kemikali kwa kuingiza masuala ya siasa katika kadhia ya utumiaji wa silaha za aina hiyo nchini Syria.
-
China na Russia zajiandaa kukabiliana na mfumo wa makombora wa Marekani wa THAD
Jan 14, 2017 00:26Serikali za Uchina na Russia zimeimarisha mahusiano yao kwa ajili ya kukabiliana na mpango wa uwekaji wa mfumo wa makombora wa Marekani THAD, ambao umepangwa kuwekwa nchini Korea Kusini mwaka huu wa 2017.
-
Mkuu wa Baraza la Mamumfti wa Russia apongeza nafasi ya Ayatullah Rasanjani
Jan 12, 2017 03:58Mkuu wa Baraza la Mamufti wa Russia amesisitiza kuwa Ayatullah Hashimi Rafsanjani alikuwa mwanasiasa mkubwa wa Kiislamu na nembo ya uzalendo.