-
Russia: Hatujaafikiana chochote na US kuhusu magaidi wa Aleppo
Dec 12, 2016 03:48Serikali ya Russia imekanusha ripoti za kipropaganda zinazodai kuwa nchi hiyo imesaini mapatano na Marekani ya kuwapa kinga na msamaha magaidi waliosalia katika mji wa Aleppo nchini Syria.
-
Rais Rouhani asisitiza udharura wa nchi za kundi la 5+1 kulinda makubaliano ya JCPOA
Dec 03, 2016 10:37Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa nchi zote zinazounda kundi la 5+1 kufanya juhudi za kulinda matunda ya makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Libya kustafidi na uzoefu wa kiusalama wa Russia katika kupambana na ugaidi
Nov 29, 2016 23:19Kamanda Mkuu wa vikosi vya Libya mashariki mwa nchi hiyo ametaka kutumiwa uzoefu wa kiusalama wa Russia katika mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Iran na Russia kuendeleza ushirikiano wa vita dhidi ya ugaidi
Nov 29, 2016 04:45Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamesisitiza kuhusu kuendeleza ushirikiano katika mapambano dhidi ya ugaidi.
-
Sisitizo la Russia juu ya nafasi ya UN katika kutatua migogoro ya kimataifa
Nov 25, 2016 12:57Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuna udharura wa kuwepo ushirikiano kati ya nchi yake na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutatua migogoro duniani.
-
Rais Assad atilia mkazo umuhimu wa uungaji mkono wa Russia kwa Syria
Nov 22, 2016 13:04Rais Bashar al-Assad wa Syria ametilia mkazo uungaji mkono wa Russia kwa nchi yake katika nyanja tofauti hususan ya kiuchumi kwa ajili ya kupunguza machungu na mateso yanayowakabili wananchi wa Syria.
-
Russia: Marekani inafanya propaganda chafu kuhusu hospitali za Aleppo
Nov 20, 2016 00:54Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, madai ya kushambuliwa hospitali katika mji wa Aleppo nchini Syria ni wenzo wa kipropaganda unaotumiwa na Marekani dhidi ya serikali ya Moscow.
-
Kukasirishwa nchi za Magharibi na uamuzi wa Russia wa kujitoa ICC
Nov 18, 2016 23:18Hatua ya Russia ya kutangaza kujitoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imezikasirisha nchi za Magharibi za Ulaya na Marekani.
-
Ufilipino kujiunga na Russia na nchi za Afrika dhidi ya ICC
Nov 18, 2016 04:15Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema huenda taifa lake likafuata mkondo wa Russia na kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Filamu ya Mtume Muhammad (saw) yaendelea kuzinduliwa duniani, mara hii ni Chechnya
Nov 15, 2016 23:24Filamu ya Mtume wa Mwenyezi Mungu Muhammad (saw) iliyotengenezwa na Majid Majidi, mtengeneza filamu wa nchini Iran, itazinduliwa hivi karibuni huko Jamhuri ya Dagestan, eneo la Chechnya nchini Russia.