-
Rais Pezeshkian: Kuimarisha uhusiano na Russia ni 'kipaumbele cha sera za nje' kwa Iran
Aug 06, 2024 03:23Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Russia kuwa ni "mshirika wa kimkakati" wa Jamhuri ya Kiislamu, akisisitiza kwamba kupanuliwa uhusiano na Moscow ni kipaumbele cha juu cha sera za nje za serikali yake.
-
Vladimir Putin atahadharisha kuhusu hali mbaya ya Asia Magharibi
Jul 25, 2024 11:20Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuhusu hali inayozidi kutokota ya eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Kukosoa Russia upinzani wa Magharibi kwa muundo mpya wa ulimwengu
Jul 21, 2024 02:30Balozi wa Russia nchini Marekani, Anatoly Antonov, amesema nchi za Magharibi zinapinga juhudi za kuundwa muundo mpya wa pande kadhaa ambao utakuwa na insafu na uadilifu zaidi.
-
BRICS, msingi wa Uhusiano wa Kimkakati kati ya Iran na Russia
Jul 14, 2024 02:56Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) na BRICS umeweka msingi wa kuendelea zaidi uhusiano na ushirikiano wa kistratijia wa Tehran na Moscow.
-
Mokhber: Uhusiano wa kimkakati wa Iran, Russia umebadilisha milingano ya dunia
Jul 05, 2024 02:56Kaimu Rais wa Iran amesema uhusiano wa kistratajia baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia umebadilisha mlingano wa nguvu duniani, na kukabiliana na mfumo usio wa kiadilifu na unaoegemea upande mmoja wa Marekani.
-
Kuendeleza uhusiano kati ya Iran na Russia; Mhimili wa mashauriano ya Ali Bagheri Kani na Sergey Lavrov
Jun 29, 2024 07:18Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia wamesisitiza udharura wa kupanuliwa uhusiano kati ya Tehran na Moscow.
-
Russia: Hatari ya kutokea vita vya nyuklia inazidi kuongezeka
Jun 26, 2024 11:49Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametahadharisha kuwa, madola yenye silaha za nyuklia yapo katika hatari ya kuingia katika makabiliano ya moja kwa moja.
-
Kushadidi mivutano ya kijeshi baina ya Russia na Marekani
Jun 24, 2024 03:29Mvutano wa kijeshi na kiusalama kati ya Russia na Marekani umeongezeka kutokana na hatua za kiuhasama za Washington dhidi ya Moscow, hasa baada ya Washington kuiruhusu Ukraine kushambulia ardhi ya Russia kwa kutumia silaha za Marekani.
-
Uanachama katika shirika la BRICS kuwekewa masharti
Jun 22, 2024 06:50Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza masharti mapya kwa nchi zinazotaka kujiunga na jumuiya ya BRICS.
-
Russia: Wamagharibi karibuni watamtosa Rais Zelensky wa Ukraine
Jun 21, 2024 02:15Idara ya Intelijensia ya Nje ya Russia (SVR) imefichua kuwa, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine ni mwanasiasa tegemezi kwa Magharibi, na kwamba karibuni hivi, Marekani pamoja na waitifaki wake 'watamtoa kafara' kiongozi huyo pasi na kujali kitu chochote.