-
Kijana, Islam, aliyeokoa watu zaidi 100 katika hujuma ya kigaidi ya Moscow apewa nishani ya ushujaa
Mar 24, 2024 22:42Kijana Muislamu mwenye umri wa miaka 15 aliyeokoa zaidi ya watu mia moja wakati wa hujuma ya kigaidi kwenye ukumbi wa tamasha wa Crocus City Hall nje kidogo ya jiji la Moscow, siku ya Ijumaa iliyopita, ametunukiwa nishani ya ushujaa.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi lililoua makumi ya watu nchini Russia
Mar 22, 2024 23:21Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililoua na kujeruhi makumi ya watu katika mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Ushindi mkubwa wa Putin katika uchaguzi wa rais wa Russia
Mar 19, 2024 02:42Tume Kuu ya Uchaguzi ya Shirikisho la Russia imetangaza kuwa Vladimir Putin, rais wa sasa wa nchi hiyo, ameshinda uchaguzi wa karibuni kwa asilimia 87.32 ya kura na hivyo kupata fursa nyingine ya kuwa rais wa Russia kwa muhula mwingine wa miaka sita. Kwa mujibu wa tangazo la tume hiyo, kiwango cha ushiriki katika uchaguzi kilikuwa cha zaidi ya asilimia 70.
-
Waangalizi wa uchaguzi wa OIC: Russia imeandaa fursa za kupiga kura kwa makundi yote ya raia
Mar 17, 2024 07:20Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kisiasa katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amesema kuwa Russia imeandaa fursa nzuri kwa raia kwa ajili ya kupiga kura.
-
Zoezi la upigaji kura kumchagua rais wa Russia limeanza leo
Mar 15, 2024 04:10Zoezi la upigaji kura wa nchi nzima wa kumchagua rais wa Russia limeanza rasmi leo.
-
Russia: Islamphobia ni aina ya ubaguzi usiyokubalika
Mar 14, 2024 03:34Maria Zakharova Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amesema kuwa Moscow inavihesabu vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu (Islamphobia) kuwani aina ya ubaguzi isiyokubalika.
-
Iran, China na Russia zafanya mazoezi ya tano ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman
Mar 12, 2024 09:00Majeshi ya wanamaji ya Iran, China na Russia leo yameanza mazoezi ya pamoja ya kijeshi katika Ghuba ya Oman, yakiwa ni mazoezi ya tano ya pamoja kufanywa na majeshi hayo katika miaka ya hivi karibuni.
-
Msemaji wa Rais wa Russia: Iran ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo
Mar 08, 2024 07:07Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo.
-
Medvedev: Hakika Ukraine ni sehemu ya Russia, inapasa irudi nyumbani
Mar 06, 2024 00:07Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amesema Ukraine ni sehemu ya nchi hiyo na amefutilia mbali suala la kufanya mazungumzo ya amani na uongozi wa sasa wa Ukraine.
-
Russia yatungua makumi ya droni za Ukraine
Mar 03, 2024 22:58Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa imezidhibiti na kuzitungua ndege kadhaa zisizo na rubani za Ukraine (Droni) katika Peninsula ya Crimea.