Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Maandamano dhidi ya vita katika nchi za Ulaya

    Maandamano dhidi ya vita katika nchi za Ulaya

    Feb 27, 2023 08:14

    Sambamba na kuendelea vita nchini Ukraine na hali mbaya ya kiuchumi na kijamii katika nchi mbalimbali za Ulaya, wananchi barani humo wamefanya maandamano katika nchi kadhaa wakipinga sera za nchi za Magharibi na kuingilia kati vita vya Ukraine.

  • Moscow: US inazishinikiza nchi za Afrika zikate uhusiano na Russia

    Moscow: US inazishinikiza nchi za Afrika zikate uhusiano na Russia

    Feb 26, 2023 08:00

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi za Afrika hivi sasa zinashuhudia mashinikizo makubwa ya kuzitaka zikate uhusiano wao na Russia.

  • Maelfu waandamana Italia, Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine

    Maelfu waandamana Italia, Ujerumani kupinga vita na kupewa silaha Ukraine

    Feb 26, 2023 07:53

    Maelfu ya wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo kulalamikia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia, huku vita vya Ukraine vikiingia mwaka wake wa pili.

  • Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine

    Upinzani wa Magharibi dhidi ya mpango wa amani wa China kwa ajili ya kuhitimisha vita vya Ukraine

    Feb 25, 2023 22:54

    Rais Joe Biden wa Marekani ameeleza shaka yake kuhusu manufaa ya mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine. Akijibu mpango wa China wa kumaliza vita na kutatua mgogoro wa Ukraine, Biden amesema kuwa mpango huo unainufaisha Russia pekee.

  • EU yaidhinisha kifurushi cha 10 cha vikwazo dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine

    EU yaidhinisha kifurushi cha 10 cha vikwazo dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine

    Feb 24, 2023 23:50

    Nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya zimeidhinisha kifurushi cha 10 cha vikwazo dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine.

  • Wallace: Vikwazo vya EU dhidi ya Russia vinahudumia maslahi ya Marekani

    Wallace: Vikwazo vya EU dhidi ya Russia vinahudumia maslahi ya Marekani

    Feb 24, 2023 23:12

    Mbunge wa Bunge la Ulaya amevitaja vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia kuwa huduma kwa maslahi ya Marekani na uwendawazimu usio na kifani kwa niaba ya watu wa Ulaya.

  • Russia: Ulaya ni mtumwa na mfuasi aliyesalimu amri kwa Marekani

    Russia: Ulaya ni mtumwa na mfuasi aliyesalimu amri kwa Marekani

    Feb 24, 2023 10:21

    Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kwamba Ulaya haijawahi kunyenyekea na kuwa mtumwa wa Marekani kiasi hiki cha sasa katika kipindi chote cha historia.

  • Nebenzya: Mlipuko wa Nord Stream ni ugaidi wa kimataifa

    Nebenzya: Mlipuko wa Nord Stream ni ugaidi wa kimataifa

    Feb 22, 2023 23:03

    Mwakilishi wa Kudumu wa Shirikisho la Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa milipuko iliyotokea kwenye mabomba ya gesi ya Nord Stream 1 na Nord Stream 2 ni ugaidi wa kimataifa.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda: Wakoloni wanatutaka tuwe maadui wa Russia

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda: Wakoloni wanatutaka tuwe maadui wa Russia

    Feb 19, 2023 23:47

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda amesema, nchi yake haitayumbishwa na mashinikizo yanayotolewa na wakoloni wa zamani katika nchi za Magharibi ya kuitaka iwe dhidi ya Russia, ikizingatiwa kuwa uhusiano wa muda mrefu wa pande mbili na Moscow ni muhimu sana kwa Kampala.

  • Nebenzya: Nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza Russia

    Nebenzya: Nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza Russia

    Feb 19, 2023 08:20

    Vasily Alekseyevich Nebenzya, Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, nchi za Magharibi zimeazimia kikwelikweli kuiangamiza nchi yake, hivyo Moscow haina chaguo jingine isipokuwa kujihami kwa ajili ya kulinda utambulisho na mustakbali wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS