-
HRW: Rwanda inawanyamazisha watumiaji wa YouTube kwa mfumo wa sheria wa ukandamizaji
Mar 16, 2022 14:12Viongozi wa upinzani, waandishi wa habari na watoa maoni nchini Rwanda wananyanyaswa na mamlaka za mahakama kwa hotuba na maoni wanayotoa, na hivyo kuzidisha utamaduni wa kutovumilia upinzani. Hayo yameelezwa na shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW).
-
Wanyarwanda wapatao 100 wakimbilia Kongo DR kukwepa chanjo ya Covid-19
Jan 13, 2022 04:12Raia wa Rwanda wapatao 100 wamevuka mpaka na kuingia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kwa kile wanachosema, wanakimbia nchi yao kwa sababu ya kushurutishwa kupiga chanjo, ili kupambana na janga la Covid-19.
-
Wakazi wa Goma wapinga kupelekwa polisi wa Rwanda katika mji huo
Dec 21, 2021 02:41Mamia ya wakazi wa mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamefanya maandamano kupinga kupelekwa askari polisi wa Rwanda katika mji huo.
-
Russia: Matatizo ya bara la Afrika inapasa yatatuliwe na viongozi wa nchi za Afrika
Oct 08, 2021 02:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema, matatizo ya baraza la Afrika inapasa yatatuliwe na viongozi wa nchi za Afrika na akaongeza kwamba Russia inaweza kuandaa mazingira ya kuwekwa askari wa kulinda amani barani humo.
-
13 watiwa mbaroni Rwanda wakituhumiwa kupanga mashambulio ya "kigaidi"
Oct 02, 2021 07:41Polisi ya Rwanda imesema, imewatia mbaroni watu 13 wanaoshukiwa kupanga mashambulio ya "kigaidi" dhidi ya mji mkuu wa nchi hiyo Kigali na kuwaonyesha watuhumiwa hao kwa vyombo vya habari.
-
Rwanda yamhukumu shujaa wa "Hotel Rwanda" kifungo cha miaka 25 jela kwa ugaidi
Sep 21, 2021 07:29Paul Rusesabagina, nyota wa filamu iitwayo "Hotel Rwanda", aliyegeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rwanda, amehukumiwa kifungo cha miaka 25 jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya ugaidi kufuatia kesi ambayo waungaji mkono wake wanasema ilikuwa ya kimaonyesho iliyochochewa na sababu za kisiasa.
-
Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati zafikia makubaliano ya kilimo + Sauti
Sep 15, 2021 04:24Nchi za Rwanda na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) zimekubaliana kuunda tume maalumu itakayoratibu ushirikiano wa mataifa hayo mawili katika sekta ya kilimo na biashara,. Sylvanus Karemera na maelezo zaidi kutoka Kigali
-
Mkuu wa Jeshi la Polisi ya Tanzania: Polisi itakagua yanayofundishwa nyumba za ibada
Sep 11, 2021 13:30Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday Schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.
-
Rwanda yatangaza siku kumi za Lockdown kufuatia kuongezeka maambukizi ya Covid-19 + Sauti
Jul 15, 2021 12:36Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje kwa muda wa siku 10 katika mji mkuu, Kigali na wilaya nane baada ya kuripotiwa ongezeko la idadi ya vifo na wagonjwa wa COVID-19 nchini humo.
-
Alkhamisi tarehe Mosi Julai 2021
Jul 01, 2021 02:24Leo ni Alkhamisi tarehe 20 Dhulqaada 1442 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2021.