-
SAUTI: Ziara ya Rais wa Misri nchini Uganda
Dec 20, 2016 07:26Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri amefanya ziara nchini Uganda na kuonana na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo na kujadiliana nao masuala muhimu ya pande mbili ikiwemo mikakati ya kutumia vizuri maji ya mto Nile. Mwandishi wa Raido Tehran na ripoti zaidi kutoka mjini Kampala.
-
SAUTI: Wagonjwa wa akili wakimbia hospitalini Kenya
Dec 06, 2016 08:42Huku mgomo wa madaktari ukiendelea nchini Kenya, zaidi ya wagonjwa mia moja wa akili wameripotiwa kutoroka hospitalini. Mwandishi wa Radio Tehran amefuatilia habari hiyo na kutuandalia ripoti ifuatayo...
-
SAUTI: Wasiwasi wa kuanza wimbi jipya la mashambulizi ya kigaidi nchini Kenya
Nov 30, 2016 14:45Idara ya polisi Kenya imetoa tahadhari kufuatia njama ya kundi la Al Shabaab na kundi la kitakfiri la Daesh kupanga kuvamia magari ya umma katika maeneo ya mipaka pamoja na miji ya pwani kama vile Mombasa. Kenya imekuwa ikishambuliwa na magaidi tangu kikosi cha jeshi lake kuelekea nchini Somalia kusaidia kulinda amani katika ngome zinazokaliwa kimabavu na wafuasi wa kundi la ash Shabab.
-
SAUTI: Mikataba mibovu, rushwa na uongozi mbaya chanzo cha umaskini Afrika
Nov 26, 2016 04:07Mikataba mibovu, rushwa na kushindwa viongozi kusimamia miongozo ya kiuchumi katika nchi za Afrika kumetajwa kuwa ndicho chanzo za kuzifanya nchi hizo zishindwe kujikomboa kimaendelea na kufanya wananchi wake walio wengi waishi katika umaskini wa kupindukia.
-
SAUTI: Wakulima wa Uganda na Kenya washauriwa kutumia kilimo bora
Nov 16, 2016 06:25Wakulima nchini Uganda na Kenya wameshauriwa kutumia kilimo bora cha uzalishaji mazao yanayotumiwa sana na raia wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa lengo la kukabiliana na njaa. Aidha wakulima hao wametakiwa kulima vyakula ambavyo ni rahisi kwa kilimo na mavuno. Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail na maelezo zaidi kutoka Kampala.
-
SAUTI: Waislamu duniani watakiwa kutofanya jazba katika kuchukua maamuzi
Oct 09, 2016 15:13Waislamu kote ulimwengu wametakiwa wametakiwa kujifunza vyema dini yao na kutokubali kuingizwa kwenye magenge yanayotumia dini kutenda vitendo vilivyo kinyume na Uislamu. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, jijini Dar es Salaam, Tanzania.
-
Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (5)
Oct 05, 2016 04:25Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya tano ya mawaidha hayo.
-
Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (4)
Oct 05, 2016 04:23Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya nne ya mawaidha hayo.
-
Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (3)
Oct 05, 2016 04:21Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya tatu ya mawaidha hayo.
-
Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (2)
Oct 05, 2016 04:20Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya pili ya mawaidha hayo.