SAUTI: Mikataba mibovu, rushwa na uongozi mbaya chanzo cha umaskini Afrika
Nov 26, 2016 04:07 UTC
Mikataba mibovu, rushwa na kushindwa viongozi kusimamia miongozo ya kiuchumi katika nchi za Afrika kumetajwa kuwa ndicho chanzo za kuzifanya nchi hizo zishindwe kujikomboa kimaendelea na kufanya wananchi wake walio wengi waishi katika umaskini wa kupindukia.
Hayo yametanabahishwa na wataalamu wa masuala ya uchumi jijini Dar es Salaam Tanzania waliokutana kujadili namna ya kujikomboa kiuchumi na kufufua viwanda ambapo wamesema, Waafrika wanapaswa kuzinduka kutoka usingizini na kusimamia mipango ya kiuchumi ndani ya nchi zao.
Tags