SAUTI: Waislamu duniani watakiwa kutofanya jazba katika kuchukua maamuzi
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i17089-sauti_waislamu_duniani_watakiwa_kutofanya_jazba_katika_kuchukua_maamuzi
Waislamu kote ulimwengu wametakiwa wametakiwa kujifunza vyema dini yao na kutokubali kuingizwa kwenye magenge yanayotumia dini kutenda vitendo vilivyo kinyume na Uislamu. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, jijini Dar es Salaam, Tanzania.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Oct 09, 2016 15:13 UTC