Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sayyid Hassan Nasrullah

  • Sayyid Hashem Safiyyuddin, Mjenga Hamasa ya Muqawama Itakayodumu Milele

    Sayyid Hashem Safiyyuddin, Mjenga Hamasa ya Muqawama Itakayodumu Milele

    Nov 06, 2024 09:06

    SalamuLlahi Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Sayyid Hashem Safiyyuddin.

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran apongeza nafasi ya kipekee ya Shahidi Nasrullah

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran apongeza nafasi ya kipekee ya Shahidi Nasrullah

    Oct 11, 2024 11:17

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuuawa shahidi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah kinyume na ulivyotarajiwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kumeutia moyo na kuupa ari kubwa mhimili wa Muqawama katika eneo.

  • Hizbullah; urithi wa kudumu wa Sayyid Hassan Nasrallah

    Hizbullah; urithi wa kudumu wa Sayyid Hassan Nasrallah

    Oct 10, 2024 08:41

    Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinachunguza shambulizi na mauaji ya kigaidi ya Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah...

  • Ansarullah: Nasrullah alizima njama za Wazayuni katika eneo

    Ansarullah: Nasrullah alizima njama za Wazayuni katika eneo

    Oct 04, 2024 03:14

    Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen sanjari na kutoa pongezi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, amesema Sayyid Hassan Nasrullah alitibua njama za Israel na kuusababishia utawala huo dhalimu vipigo vya fedheha.

  • Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina

    Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina

    Oct 03, 2024 11:00

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jioni ya Ijumaa (tarehe 6 Oktoba 2024) lilifanya mashambulizi ya kikatili ambayo hayajawahi kutokea katika viunga vya kusini mwa Beirut nchini Lebanon.

  • Sayyid wa Muqawama, Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah

    Sayyid wa Muqawama, Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah

    Oct 01, 2024 11:20

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.

  • Rais Pezeshkian: Damu ya shahidi Nasrullah itaendelea kuchemka na itasimama wima mbele ya dhulma

    Rais Pezeshkian: Damu ya shahidi Nasrullah itaendelea kuchemka na itasimama wima mbele ya dhulma

    Sep 30, 2024 14:39

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani na waungaji mkono wa utawala wa Kizayuni wamewaonyesha walimwengu jinsi haki za binadamu, utu wa binadamu na sheria za kimataifa zinavyokiukwa, magaidi na wahalifu wanaitwa watetezi wa haki za binadamu na waungaji mkono wa haki za binadamu kwa wanaodhulumiwa na wanaitwa kuwa ni magaidi.

  • Sheikh Naim Qassim: Tumejiandaa kikamilifu kukabiliana na Israel

    Sheikh Naim Qassim: Tumejiandaa kikamilifu kukabiliana na Israel

    Sep 30, 2024 14:10

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo imejiandaa kikamilifu kukabiliana na mashhambulio ya utawala haramu wa Israel.

  • Taathira za mauaji ya kigaidi ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa mfumo wa dunia

    Taathira za mauaji ya kigaidi ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa mfumo wa dunia

    Sep 30, 2024 14:07

    Mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, yanaweza kuchambuliwa katika nyanja mbalimbali, lakini moja ya nyanja hazo ni tathmini ya athari zake katika mfumo wa dunia.

  • Subirini; jibu la kamanda wa jeshi la Iran kuhusu radiamali ya Tehran kwa mauaji ya shahidi Nasrullah

    Subirini; jibu la kamanda wa jeshi la Iran kuhusu radiamali ya Tehran kwa mauaji ya shahidi Nasrullah

    Sep 30, 2024 11:19

    Kamanda mkuu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu radiamali ya Iran na mhimili wa muqawama kwa mauaji ya Sayyid Hassan Nasrullah kuwa, subirini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS