Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sayyid Hassan Nasrullah

  • Nasrullah: Operesheni ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni ni

    Nasrullah: Operesheni ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni ni "Operesheni ya Siku ya Arubaini"

    Aug 26, 2024 03:37

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameipa operesheni kubwa iliyotekelezwa na harakati hiyo siku ya Jumapili dhidi ya utawala wa Kizayuni jina la "Operesheni ya Siku ya Arubaini" na kueleza kwamba, ilifanyika kwa mafanikio.

  • Mchambuzi: Nasrullah amedhoofisha uwezo wa kujihami wa Israel

    Mchambuzi: Nasrullah amedhoofisha uwezo wa kujihami wa Israel

    Aug 21, 2024 02:58

    Mtafiti mmoja wa Kizayuni amekiri uwezo wa Katibu Mkuu wa Hakarati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrallah na kusisitiza kuwa, kiongozi huyo wa Muqawama wa Lebanon amedhoofisha uwezo wa kuzuia mashambulizi wa utawala wa Kizayuni.

  • Nasrullah: Israel inaogopa majibu ya Iran, Hizbullah kwa jinai zake

    Nasrullah: Israel inaogopa majibu ya Iran, Hizbullah kwa jinai zake

    Aug 07, 2024 06:52

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema misaada ya nchi za Magharibi kwa Israel ni ithibati kuwa utawala huo wa Kizayuni hauna uwezo wa kujilinda, na unatiwa kiwewe na majibu tarajiwa ya Iran na kambi ya muqawama kwa msururu wa mauaji ya kigaidi uliyoyafanya katika siku za karibu katika eneo.

  • Sayyid Nasrullah: Waislamu hivi sasa wameshikamana kutokana na Kimbunga cha al Aqsa

    Sayyid Nasrullah: Waislamu hivi sasa wameshikamana kutokana na Kimbunga cha al Aqsa

    Jul 17, 2024 11:03

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mshikamano unaoonekana hivi sasa na kupungua mivutano katika safu za Waislamu ni katika mafanikio makubwa ya operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa iliyoongozwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Sayyid Nasrullah: Magenge ya kigaidi yameundwa na Marekani na Uingereza

    Sayyid Nasrullah: Magenge ya kigaidi yameundwa na Marekani na Uingereza

    Jul 12, 2024 06:47

    Katibu MKuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa magenge ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi yameundwa na yanaendeshwa na mashirika ya kijasusi ya Marekani na Uingereza.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Israel inapitia siku mbaya zaidi

    Sayyid Hassan Nasrullah: Israel inapitia siku mbaya zaidi

    Jul 11, 2024 07:01

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba yake kuwa Utawala wa Kizayuni unapitia siku mbaya zaidi za historia yake bandia na kuwa mwishowe utawala huo utalazimika kusimamisha vita huko Ukanda wa Gaza.

  • Katibu Mkuu wa Hizbullah asisitiza kuendelezwa uungaji mkono kwa watu wa Palestina

    Katibu Mkuu wa Hizbullah asisitiza kuendelezwa uungaji mkono kwa watu wa Palestina

    Jul 10, 2024 12:30

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, mapambano ya kuunga mkono watu wa Ukanda wa Gaza yataendelea hadi kutimizwa malengo ya wananchi wa Palestina na ya wanamapambano wa ukombozi.

  • Sayyid Nasrullah: Jinai za Israel Ghaza zimeamsha hisia za utu katika nchi za Magharibi

    Sayyid Nasrullah: Jinai za Israel Ghaza zimeamsha hisia za utu katika nchi za Magharibi

    Jul 08, 2024 10:42

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jinai kubwa na ambazo hazijawahi kushuhudiwa mfano wake zinazofanywa na utawala katili wa Israel huko Ghaza, zimeamsha hisia za utu na ubinadamu katika nchi za Magharibi.

  • Sayyid Nasrullah: Kukombolewa Palestina ndio ushindi wa mwisho

    Sayyid Nasrullah: Kukombolewa Palestina ndio ushindi wa mwisho

    Jun 30, 2024 02:14

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ushindi wa mwisho ni kukombolewa Palestina na kuondolewa eneo la Asia Magharibi kutoka katika udhibiti utawala wa Marekani.

  • Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Sayyid Hassan Nasrallah

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Sayyid Hassan Nasrallah

    Jun 04, 2024 07:55

    Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekutana na kuzungumza na Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS