-
Amnesty yasema mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni ya jazba
Apr 12, 2017 07:11Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusisitiza kuwa 'mashambulizi hayo ya jazba' sio njia mbadala ya kufanyika uchunguzi wa kina juu ya mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Khan Sheikhoun.
-
Trump aliwahi kuandika mara 45 katika twitter kuwa kuishambulia kijeshi Syria ni wazo baya
Apr 09, 2017 02:41Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha migongano ya wazi katika kauli na vitendo vyake kwa kuamuru kushambuliwa kijeshi kituo cha anga cha jeshi la Syria katika mkoa wa Homs magharibi mwa nchi hiyo.
-
Magaidi wa Boko Haram washadidisha mashambulio nchini Nigeria
Apr 08, 2017 15:48Watu kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulio mawili yaliyofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Mwakilishi wa Republican katika Kongresi: Serikali ya Syria haikuhusika na mashambulizi ya silaha za kemikali
Apr 06, 2017 14:00Mwakilishi wa chama tawala cha Republican katika Kongresi ya Marekani amekanusha madai yanayosema kuwa serikali ya Syria ilihusika na mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun huko kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria lawashambulia tena Waislamu wa nchi hiyo
Mar 03, 2017 13:41Jeshi na Nigeria pamoja na polisi wa nchi hiyo kwa pamoja wamelishambulia jengo moja la Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo katika mji wa Katsina ulioko kaskazini mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Daesh latumia gesi ya sumu kujaribu kulizuia jeshi la Iraq kuyakomboa maeneo yaliyosalia Mosul
Mar 03, 2017 04:19Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) limetumia silaha zenye gesi ya sumu katika kulizuia jeshi la Iraq kusonga mbele katika maeneo yaliyosalia.
-
Atakayetoa taarifa za waliohusika na mlipuko wa Mogadishu kupewa zawadi ya laki moja
Feb 20, 2017 16:01Rais Mohamed Abdullahi Mohamed ‘Farmajo wa Somalia ametangaza zawadi ya dola laki moja kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kutiwa mbaroni watu waliohusika na shambulio la kigaidi la jana mjini Mogadishu.
-
Watu wasiopungua 30 wauawa Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Feb 11, 2017 07:30Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mji wa Tshimbulu Kasai Katikati huko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mashambulio ya kundi moja la wanamgambo.
-
Watu 37 wauawa katika shambulizi la bomu kaskazini mwa Mali
Jan 18, 2017 16:39Makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la bomu karibu na kambi ya jeshi kaskazini mwa Mali leo Jumatano.
-
Jela yavamiwa na watu wenye silaha Bahrain, wafungwa waachiwa huru
Jan 01, 2017 16:36Watu waliokuwa na silaha wameivamia jela ya Jau nchini Bahrain na kumuua polisi mmoja na kuwatorosha wafungwa wa jela hiyo. Hayo yameelezwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Bahrain.