-
Wanajeshi 2 wa Misri wauawa katika shambulizi la bomu Sinai
Jan 01, 2017 07:30Kwa akali askari 2 wa Misri wameuawa katika shambulio la bomu katika Peninsula ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo ya Afrika.
-
Mashambulio ya anga ya Saudia yaua raia tisa Yemen
Dec 25, 2016 03:50Raia kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mashambulio ya anga yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudi Arabia kusini magharibi mwa Yemen.
-
Watu kadhaa wajeruhiwa katika shambulio la kigaidi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Dec 20, 2016 03:06Watu kadhaa wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi linalosadikiwa kufanywa na wanamgambo wa kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Kundi la ash Shabab lashambulia kusini mwa Somalia
Dec 08, 2016 04:08Watu wanne wameuawa baada ya kundi la kigaidi la ash Shabab kushambulia eneo moja la kusini mwa Somalia.
-
Waislamu Marekani walaani hujuma ya 'kigaidi' Ohio
Nov 29, 2016 14:11Viongozi wa Kiislamu nchini Marekani wamelaani vikali kile vyombo vya usalama vimetaja kuwa hujuma ya kigaidi katika jimbo la Ohio, ambapo mwanafunzi mmoja wa Marekani mwenye asili ya Somalia aliwashambulia kwa kisu wanachuo wenzake.
-
Bomba jingine la kusafirisha mafuta laripuliwa Niger Delta nchini Nigeria
Nov 28, 2016 07:50Waasi wa eneo la kusini mwa Nigeria la Niger Delta wameshambulia kwa kuripua bomba jingine la kusafirisha mafuta katika eneo hilo.
-
Watu 31 wauawa katika mapigano ya kikabila huko katika jimbo la Kaduna, Nigeria
Nov 15, 2016 13:45Duru za afya katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria, zimearifu juu ya kujiri mapigano makali ya kikabila na kupelekea makumi ya watu kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
5 wauawa katika hujuma dhidi ya msafara wa waziri DRC
Nov 14, 2016 07:56Kwa akali watu watano wameuawa katika shambulio lililolenga msafara wa waziri katika mkoa wa Kivu Kusini, huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya ubalozi wa Ujerumani
Nov 12, 2016 08:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga ubalozi mdogo wa Ujerumani nchini Afghanistan.
-
Umoja wa Mataifa umelaani mashambulizi ya Tripoli Libya
Oct 17, 2016 04:29Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Katika Masuala ya Libya amelaani mashambulizi yaliyofanywa katika majengo ya serikali huko Tripoli mji mkuu wa Libya.