-
Wamarekani waanza kuisakama Saudia juu ya shambulio la Septemba 11
Oct 01, 2016 04:23Mjane wa Kimarekani ambaye mumewe aliuawa katika shambulizi la Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani ameipeleka mahakamani serikali ya Saudi Arabia kwa kuhusika na hujuma hiyo, sambamba na kutaka kulipwa fidia kutokana na mauaji ya mumewe.
-
Saudia yashambulia hospitali Yemen; yaua raia 25 na kujeruhi 20
Aug 15, 2016 23:17Raia wasiopungua 25 wameuawa na wengine 20 wamejeruhiwa katika shambulio la anga la ndege za utawala vamizi wa Saudi Arabia dhidi ya hospitali moja kaskazini mwa Yemen.
-
Kuendelea mashambulio dhidi ya vinu vya kusafisha mafuta Nigeria
Aug 12, 2016 11:01Kundi jipya la wabeba silaha lililoundwa katika eneo la Niger Delta nchini Nigeria limeonya kuwa litafanya mashambulio zaidi ya ilivyokuwa hapo kabla dhidi ya vinu vya kusafisha mafuta vya makampuni ya kigeni yaliyoko katika eneo hilo.
-
Shambulizi la bomu dhidi ya hospitali Pakistan laua 50
Aug 08, 2016 03:38Makumi ya watu wameuawa katika mlipuko wa bomu uliolenga hospitali kuu ya mji wa Quetta, kusini magharibi mwa Pakistan.
-
11 wauawa na kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Misri
Aug 06, 2016 03:20Watu wanne wameuawa na wengine saba kujeruhiwa katika hujuma inayoaminika kuwa ya ulipizaji kisasi katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
-
Mbunge wa Uingereza afariki dunia baada ya kujeruhiwa kwa risasi
Jun 16, 2016 23:57Mbunge wa Uingereza Jo Cox amefariki dunia kutokana na majeraha aliyopata baada ya kupigwa risasi jana.
-
Eritrea: Ethiopia imefanya hujuma ndani ya ardhi yetu
Jun 13, 2016 10:25Kwa mara nyingine tena Eritrea imeituhumu jirani yake Ethiopia kuwa imefanya mashambulizi ndani ya ardhi yake.
-
Israel yawakataza Wapalestina kutembeleana mwezi wa Ramadhan
Jun 09, 2016 09:25Utawala wa Kizayuni wa Israel umewapiga marufuku Wapalestina kutembeleana na kufanya ziara katika maeneo matakatifu ya ardhi zao zinazokaliwa kwa mabavu, katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, kufuatia shambulizi dhidi ya Tel Aviv.
-
Shambulio la wanamgambo wa Niger Delta lasimamisha kazi za kampuni ya mafuta Nigeria
May 26, 2016 22:59Duru za kampuni ya uchimbaji mafuta ya Chevron zimeeleza kuwa shughuli za za uchimbaji mafuta za kampuni hiyo katika ufukwe wa Niger Delta zimesimamishwa baada ya kituo chake katika eneo la Escravos kushambuliwa na wanamgambo wanaobeba silaha.
-
Vijana wenye hasira washambulia wanasiasa wawili wa Kano, Nigeria
May 12, 2016 10:56Polisi katika jimbo la Kano nchini Nigeria imetangaza kuwa vijana wenye hasira wamewashambulia wanasiasa wawili katika jimbo hilo lililoko kaskazini mwa nchi hiyo.