Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

silaha

  • Marekani yazidi kuwazatiti kwa silaha waasi nchini Syria

    Marekani yazidi kuwazatiti kwa silaha waasi nchini Syria

    May 05, 2018 03:22

    Kwa mara nyingine tena, jana Ijumaa Marekani ilimimina shehena za silaha katika mkoa wa al Hasaka, kaskazini mwa Syria kama njia ya kuchochea vita na kuendeleza mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwenye eneo hilo.

  • Saudia yaendelea kurundika silaha, yatumia dola bilioni 69 mwaka jana pekee

    Saudia yaendelea kurundika silaha, yatumia dola bilioni 69 mwaka jana pekee

    May 02, 2018 21:17

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) inaonyesha kuwa, fedha zinazotengwa na baadhi ya nchi ikiwemo Saudi Arabia kwa sababu za kijeshi mwaka jana 2017 zimeongzeka kwa asilimia 1.1, sawa na dola trilioni 1.739 za Marekani.

  • Naeem Qassim: Hizbullah haitaweka chini silaha ila baada ya kuangamizwa Israel

    Naeem Qassim: Hizbullah haitaweka chini silaha ila baada ya kuangamizwa Israel

    Apr 28, 2018 11:43

    Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, harakati hiyo itakuwa tayari kuweka chini silaha pale tu itakapohakikisha utawala wa Kizayuni wa Israel umeangamizwa.

  • Wimbi la upinzani wa kuuziwa silaha Saudi Arabia huko Ufaransa

    Wimbi la upinzani wa kuuziwa silaha Saudi Arabia huko Ufaransa

    Apr 10, 2018 07:55

    Malalamiko ya kutaka kusitishwa kuuziwa silaha Saudi Arabia yameshadidi nchini Ufaransa sambamba na safari ya Muhammad bin Salman, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudia katika nchi hiyo ya bara Ulaya.

  • Trump aunga mkono tena sheria ya kumiliki bunduki kiholela nchini Marekani

    Trump aunga mkono tena sheria ya kumiliki bunduki kiholela nchini Marekani

    Mar 28, 2018 11:31

    Kwa mara nyingine tena rais wa Marekani, Donald Trump ameunga mkono sheria inayoruhusu kuuzwa na kumiliki bunduki kiholela nchini humo.

  • Aghalabu ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao iache kuiuzia silaha Saudia

    Aghalabu ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao iache kuiuzia silaha Saudia

    Mar 26, 2018 10:31

    Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni umeonyesha kuwa asilimia 75 ya wananchi wa Ufaransa wanataka nchi yao isimamishe uuzaji wa silaha kwa Saudi Arabia, Imarati na nchi nyingine zinaoendesha vita haribifu huko Yemen.

  • Amnesty yalaani uuzaji wa silaha kwa Saudia, yasema Riyadh imetenda jinai za kivita Yemen

    Amnesty yalaani uuzaji wa silaha kwa Saudia, yasema Riyadh imetenda jinai za kivita Yemen

    Mar 23, 2018 09:38

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani mwenendo wa nchi za Magharibi hususan Marekani wa kuendelea kuiuzia silaha Saudi Arabia ikisisitiza kuwa utawala wa Riyadh umefanya jinai za kivita nchini Yemen.

  • Zana za kijeshi za Marekani zapatikana katika maficho ya magaidi huko Ghouta Mashariki, nchini Syria

    Zana za kijeshi za Marekani zapatikana katika maficho ya magaidi huko Ghouta Mashariki, nchini Syria

    Mar 09, 2018 00:35

    Jeshi la Syria jana (Alkhamisi) lilikamata kiwango kikubwa cha silaha na zana za kijeshi pamoja na mada za miripuko zilizotengenezwa nchini Marekani, katika maficho ya magaidi huko Ghouta Mashariki katika viunga vya mji mkuu, Damascus.

  • Wauzaji wa silaha za moto Marekani wapongeza msimamo hasi wa Trump

    Wauzaji wa silaha za moto Marekani wapongeza msimamo hasi wa Trump

    Feb 23, 2018 04:08

    Chama cha Wauzaji Bunduki Marekani NRA kimepongeza pendekezo lililotolewa na Rais Donald Trump la kutaka kupewa silaha za moto walimu wa shule za nchi hiyo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo.

  • Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu

    Trump: Njia ya kuzuia mashambulizi ya shuleni US ni kuwapa silaha za moto walimu

    Feb 22, 2018 01:06

    Rais Donald Trump wa Marekani ametoa pendekezo kwa ajili ya kuzuia msururu wa mashambulizi ya silaha za moto katika shule za nchi hiyo akisema kuwa, njia pekee ya kuzuia suala hilo ni kuwapatia silaha za moto walimu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS