Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

silaha za kemikali

  • Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Feb 13, 2017 13:49

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, historia ya mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Baath wa Saddam, dhidi ya wananchi na raia wasio na ulinzi wa Iran ni jambo lisiloweza kusahaulika.

  • Jeshi la Syria lagundua karakana ya magaidi ya kutengeneza silaha za kemikali, Aleppo

    Jeshi la Syria lagundua karakana ya magaidi ya kutengeneza silaha za kemikali, Aleppo

    Dec 31, 2016 23:31

    Jeshi la Syria limetangaza kuwa, limegundua karakana iliyokuwa ikitumiwa na magaidi kutengeneza silaha za kemikali katika mji wa kaskazini mwa nchi hiyo wa Aleppo.

  • Utumiaji wa silaha za kemikali kundi la Daesh na udharura wa Magharibi kujibu suala hilo

    Utumiaji wa silaha za kemikali kundi la Daesh na udharura wa Magharibi kujibu suala hilo

    Nov 30, 2016 04:48

    Alireza Jahangiri Mwakilishi wa Iran katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali (OPCW) alisema jana huko The Hague Uholanzi kuwa nchi zinazoyaunga mkono makundi ya kigaidi ya Daesh na Jabhatul Nusra ambazo zinafanikisha upatikanaji wa silaha za kemikali kwa makundi hayo ili yazitumie dhidi ya raia wasio na hatia, ni lazima zitoa majibu kuhusiana na hatua zake hizo.

  • Syria yajibu madai ya nchi za Magharibi kuhusu silaha za kemikali

    Syria yajibu madai ya nchi za Magharibi kuhusu silaha za kemikali

    Nov 30, 2016 00:43

    Syria imekadhibisha madai yaliyotolewa na nchi za Magharibi zinazodai kuwa, jeshi la nchi hiyo limetumia silaha za kemikali katika mapambano yake dhidi ya makundi ya kigaidi.

  • Udharura wa kutoa jibu waungaji mkono wa magaidi wanaotumia silaha za kemikali

    Udharura wa kutoa jibu waungaji mkono wa magaidi wanaotumia silaha za kemikali

    Nov 30, 2016 00:16

    Mwakilishi wa Iran katika Shirika Linalopiga Marufuku Silaha za Kemikali (OPCW) ameeleza kuwa nchi zinazoyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayotumia silaha za kemikali zinapasa kutoa jibu kuhusu suala hilo.

  • HRW: Daesh wanatumia silaha za kemikali wakikimbia Mosul

    HRW: Daesh wanatumia silaha za kemikali wakikimbia Mosul

    Nov 12, 2016 04:20

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanatumia silaha za kemikali kaskazini mwa mji wa Mosul nchini Iraq.

  • Ijumaa 17 Juni 2016

    Ijumaa 17 Juni 2016

    Jun 17, 2016 02:03

    Siku kama ya leo miaka 91 iliyopita sawa na tarehe 17 Juni 1925, ulitiwa saini mkataba wa kupiga marufuku matumizi ya silaha za vijidudu na kemikali mjini Geneva Uswisi.

  • Wasiwasi wa Daesh kupata silaha za kemikali

    Wasiwasi wa Daesh kupata silaha za kemikali

    Apr 25, 2016 22:05

    Jumuiya ya Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) imetahadharisha kwamba kuna uwezekano kundi la kigaidi la Daesh likawa na silaha za kemikali.

  • Daesh yaua makumi kwa gesi ya sumu huko Sheikh Maqsood

    Daesh yaua makumi kwa gesi ya sumu huko Sheikh Maqsood

    Apr 08, 2016 00:16

    Watu wasiopungua 23 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulio la silaha za kemikali lililofanywa na magaidi wa kundi la Daesh dhidi ya wapiganaji a Kikurdi wa People's Protection Units (YPG) karibu na mji wa Aleppo nchini Syria.

  • Daesh watumia silaha za kemikali dhidi ya uwanja wa ndege Syria

    Daesh watumia silaha za kemikali dhidi ya uwanja wa ndege Syria

    Apr 05, 2016 02:57

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi mashariki mwa Syia, kwa silaha za kemikali.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS