Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

silaha za nyuklia

  • Mbunge wa US ataka Gaza iangamizwe kwa nyuklia kama Hiroshima

    Mbunge wa US ataka Gaza iangamizwe kwa nyuklia kama Hiroshima

    May 23, 2025 11:55

    Mbunge wa jimbo la Florida wa chama cha Republican, Randy Fine ameashiria shambulio la bomu la nyuklia la Marekani dhidi ya Japan wakati wa Vita vya Pili vya Dunia na kutoa wito wa kuangamizwa Gaza kwa silaha za nyuklia.

  • Shoigu: Russia inaweza kutumia silaha za nyuklia kukabiliana na mashambulio ya Magharibi

    Shoigu: Russia inaweza kutumia silaha za nyuklia kukabiliana na mashambulio ya Magharibi

    Apr 25, 2025 06:27

    Katibu wa Baraza la Usalama la Russia Sergei Shoigu amesema, Moscow ina haki ya kutumia silaha za nyuklia katika kukabiliana na mashambulio ya nchi za Magharibi.

  • Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia

    Amri mpya ya Putin na kuongezeka uwezekano wa kutumiwa silaha za nyuklia

    Nov 20, 2024 11:23

    Rais Vladimir Putin wa Russia Jumanne, Novemba 19, alitia saini amri ambayo inaipa Moscow ruhusa ya kutumia silaha za nyuklia dhidi ya "nchi isiyo na silaha za nyuklia" ilimradi nchi hiyo iwe inaungwa mkono na nguvu za nyuklia.

  • Kukiri Marekani kwamba hakuna mpango wa nyuklia wa kijeshi unaoendeshwa ndani ya Iran

    Kukiri Marekani kwamba hakuna mpango wa nyuklia wa kijeshi unaoendeshwa ndani ya Iran

    Jul 12, 2023 02:34

    Licha ya madai ya mara kwa mara ya nchi za Magharibi hususan Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba Iran inafanya juhudi za kujipatia silaha za nyuklia, taasisi kuu ya intelijensia ya Marekani imeikiri kuwa Iran haijihusishi na uundaji wa silaha za nyuklia.

  • Majibu makali ya Tehran kuhusu msimamo ulio dhidi ya Tehran wa Blinken

    Majibu makali ya Tehran kuhusu msimamo ulio dhidi ya Tehran wa Blinken

    Feb 02, 2023 02:12

    Nasser Kan'ani, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, siku ya Jumatatu alijibu upayukaji mpya wa baadhi ya viongozi wa Marekani na kusema kuwa, serikali ya Washington inaelewa vilvyo kwamba Iran haiwezi kufumbia macho uchokozi wa aina yoyote ile wa ardhi yake na lazima itatoa majibu makali kwa yeyote anayelichokoza taifa hili la Kiislamu.

  • Marandi: Nchi za Magharibi zinatoa madai ya uongo kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran

    Marandi: Nchi za Magharibi zinatoa madai ya uongo kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran

    Dec 25, 2022 02:18

    Mshauri wa vyombo vya habari wa timu ya mazungumzo ya nyuklia ya Iran amesema kuwa nchi za Magharibi zinadanganya kuhusu miradi ya kuzalisha nishati ya nyuklia nchini Iran, na amesisitiza kuwa Iran haina mpango wa kuzalisha silaha za nyuklia.

  • Kukiri Grossi kuhusu kutokuwepo mpango wa kijeshi wa nyuklia nchini Iran

    Kukiri Grossi kuhusu kutokuwepo mpango wa kijeshi wa nyuklia nchini Iran

    Nov 24, 2022 02:22

    Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA akijibu swali kuhusu uwezekano wa Iran kupata bomu la nyuklia amesema: "Katika kiwango cha sasa cha uzalishaji urani iliyorutubishwa, Iran imeweza kuzalisha kiwango cha kutosha cha kuiwezesha kutengeneza zaidi ya kifaa kimoja (cha mlipuko) iwapo itataka kufanya hivyo."

  • Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani

    Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani

    Apr 12, 2022 02:53

    Imedokezwa kuwa China imeongeza kasi ya upanuaji wa silaha zake za nyuklia baada ya tathmini mpya kuhusu tishio la Marekani kwa nchi hiyo.

  • Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia

    Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia

    May 23, 2021 10:57

    Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya hujuma yoyote ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa China.

  • Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yaanza New York, Marekani

    Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yaanza New York, Marekani

    Mar 27, 2017 13:07

    Mazungumzo ya kupiga marufuku silaha za nyuklia yameanza mjini New York Marekani bila ya kuwashirikisha wajumbe kutoka Russia, Marekani, Ufaransa na Uingereza.

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS