-
Wanamgambo 80 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Somalia
Dec 27, 2023 06:52Wanachama wasiopungua 80 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameuawa katika operesheni ya Jeshi la Taifa la Somalia katika mkoa wa Mudug, kaskazini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Makumi ya magaidi wa al Shabaab waangamizwa Somalia
Dec 25, 2023 02:42Wizara ya Ulinzi ya Somalia imetangaza kuwa makumi ya magaidi wa kundi la wanamgambo wa al Shabaab wameangamizwa kusini mwa nchi hiyo.
-
UN yaiondoea vikwazo vya silaha Somalia, yahitimisha shughuli zake za kisiasa nchini Sudan
Dec 02, 2023 05:59Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa kauli moja azimio la kuondoa vikwazo vya mwisho vya silaha dhidi ya serikali ya Somalia na vikosi vyake vya usalama, huku likihitimisha pia shughuli za ujumbe wake wa kisiasa katika nchi ya Sudan iliyokumbwa na vita.
-
Ukame kulazimisha watu milioni 216 duniani kuyahama makazi yao
Nov 30, 2023 03:49Inakadiriwa kuwa, watu milioni 216 watalazimika kuyahama makazi yao kufikia mwaka 2050 kutoka na athari za ukame.
-
Watu 14 waaga dunia kutokana na mafuriko Somalia
Nov 05, 2023 14:34Kwa akali watu 14 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Somalia.
-
Jumamosi, 21 Oktoba, 2023
Oct 21, 2023 02:23Leo ni Jumamosi 5 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1445 Hijria mwafakka na tarehe 21 Oktoba 2023 Miladia.
-
Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wauawa nchini Somalia
Oct 07, 2023 08:11Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameuawa katika operesheni za jeshi la Somalia.
-
Somalia: Tumeua wanachama 1,650 wa al-Shabaab ndani ya miezi 2
Oct 05, 2023 14:01Serikali ya Somalia imesema imefanikiwa kuangamiza wanachama 1,650 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab katika operesheni za vikosi vya jeshi la nchi hiyo katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 27 wa al-Shabaab Galmudug
Sep 23, 2023 07:42Jeshi la Somalia limetangaza habari ya kuangamiza makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la al-Shabaab katika jimbo la Galmudug, katikati mwa nchi.
-
Jeshi la Ethiopia lasema limeua magaidi 462 wa al-Shabaab Somalia
Sep 22, 2023 02:41Kwa akali wanachama 462 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waliuawa mwisho mwa wiki nchini Somalia, Jeshi la Ulinzi la Taifa la Ethiopia (ENDF) limethibisha hayo na kueleza kuwa, magaidi hao waliuawa katika shambulizi lililotibuliwa katika kambi ya askari wa Ethiopia wanaohudumu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS).