-
Makumi ya wanajeshi wa Ethiopia wauawa katika hujuma ya kigaidi
Sep 18, 2023 07:44Makumi ya askari wa jeshi la Ethiopia wameuliwa katika shambulio la wanamgambo wa kundi la Shabab magharibi mwa Somalia.
-
Mamilioni wahama makazi yao Somalia kutokana na ukame, migogoro
Sep 01, 2023 03:05Robo ya wananchi wote wa Somalia wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na ukame na migogoro.
-
AU kundoa askari wengine 3,000 kutoka Somalia
Aug 30, 2023 08:05Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kimesema kitawaondoa wanajeshi wengine 3,000 katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Kundi la al-Shabaab ladhibiti miji mitano katikati ya Somalia
Aug 30, 2023 02:31Wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameripotiwa kuteka miji mitano iliyoko katikati ya Somalia.
-
Vikosi vya Danab vyaua magaidi 47 wa al-Shabaab Somalia
Aug 29, 2023 11:56Vikosi Maalumu vya Danab vya jeshi la Somalia vimeua makumi ya magaidi wa al-Shabaab katika operesheni ya hivi punde katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Rais wa Somalia: Tutaitokomeza al-Shabaab ndani ya miezi 5
Aug 19, 2023 10:25Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amesema lengo la operesheni za kijeshi zinazoendelea nchini humo ni kulitokomeza na kulisambaratisha kundi la kigaidi la al-Shabaab katika kipindi cha miezi mitano ijayo.
-
Jeshi la Somalia lawaangamiza magaidi 20 wa Al-Shabaab kusini mwa nchi
Aug 13, 2023 14:04Jeshi la Somalia limetangaza kuwa limewaangamiza wanachama wapatao 20 wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab katika mkoa wa Lower Shabelle kusini mwa nchi hiyo.
-
WHO yaimarisha hatua za kukabiliana na kipindupindu ambacho kimeua watu 30 nchini Somalia
Aug 13, 2023 02:55Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema limeongeza hatua za dharura ili kuokoa maisha na kuzuia maambukizi zaidi ya kipindupindu nchini Somalia baada ya watu 30 kufariki dunia kutokana na ugonjwa huo tangu Januari mwaka huu.
-
Askari kadhaa wa Somalia wauawa katika mripuko wa bomu Mogadishu
Aug 11, 2023 02:18Wanajeshi kadhaa wa Somalia wamepoteza maisha baada ya gari lililokuwa limewabeba kukanyaga bomu katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu.
-
Magaidi 25 wa kundi la al-Shabaab waangamizwa Somalia
Aug 10, 2023 02:22Wanachama 25 wa kundi la kigaidi la al-Shabab la Somalia wameangamizwa akiwemo mmoja wa makamanda wao wa ngazi za juu.