-
Magaidi 60 wa al-Shabaab waangamizwa kusini ya Somalia
Jul 28, 2023 02:26Wanachama wasiopungua 60 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameuawa katika operesheni ya pamoja ya jeshi la Somalia na vikosi vya kigeni kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Magaidi 100 wa al-Shabaab waangamizwa katikati ya Somalia
Jul 20, 2023 07:26Wanachama wasiopungua 100 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameripotiwa kuuawa katika operesheni ya pamoja ya jeshi la Somalia na vikosi vya kigeni katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Magaidi 20 wa kundi la al-Shabab waangamizwa katikati ya Somalia
Jul 17, 2023 07:34Viongozi wa Somalia wametangaza kuwa, magaidi 20 wa kundi la wanamgambo wa al-Shabab wameuawa na vikosi vya serikali katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Watu kadhaa wauawa katika miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, Somalia
Jul 15, 2023 06:53Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, imesababisha watu kadhaa kuuawa na kujeruhiwa.
-
Watu 8 wakiwemo watoto 6 wauawa katika mripuko wa bomu Somalia
Jul 10, 2023 12:22Watu wasiopungua wanane wakiwemo watoto sita wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mji wa Bulaburde, jimboni Hirshabelle katikati ya Somalia.
-
Makumi ya magaidi wa al-Shabaab wauawa na askari wa Kenya mpakani
Jul 07, 2023 03:10Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab la Somalia wameangamizwa katika makabaliano makali baina ya wanamgambo hao na askari polisi wa Kenya mpakani mwa nchi mbili hizo.
-
Jumamosi, Mosi Julai, 2023
Jul 01, 2023 05:55Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Tatu Dhul-Hija 1444 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2023 Miladia.
-
Pande hasimu zakubaliana kusitisha mapigano Puntland, Somalia
Jun 22, 2023 02:38Pande hasimu katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia zimeafikiana kusitisha mapigano na uhasama.
-
Miripuko pacha yatikisa Somalia, kadhaa wapoteza maisha
Jun 21, 2023 12:14Watu kadhaa wanahofiwa kuuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu katika mji wa Bardhere ulioko katika eneo la Gedo, kusini magharibi mwa Somalia.
-
Mapigano juu ya mageuzi ya katiba yaua watu 9 Puntland, Somalia
Jun 21, 2023 03:43Watu wasiopungua tisa wameuawa katika mapigano yaliyosababishwa na suala tata la kuifanyia marekebisho katiba katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Puntland nchini Somalia.