-
Somalia yajiunga na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia
Sep 17, 2024 04:01Somalia imejiunga na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) katika Mkutano Mkuu wa wakala huo ulioanza jana Jumatatu mjini Vienna.
-
Magaidi 19 wa al-Shabaab wauawa katika mashambulizi ya anga Somalia
Sep 04, 2024 23:26Wanachama wasiopungua 19 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Somalia katika maeneo ya Shabelle ya Kati na Galgadud.
-
Kani: Iran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano na Afrika
Aug 09, 2024 03:49Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haina kikomo wala mipaka katika kuimarisha na kupanua uhusiano wake na nchi za bara Afrika.
-
Magaidi 80 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia
Jul 22, 2024 07:57Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa nchini Somalia katika operesheni tatu za jeshi la Somalia dhidi ya genge hilo.
-
25 wauawa, kujeruhiwa Somalia wakitazama fainali ya EURO 2024
Jul 15, 2024 07:23Kwa akali watu watano wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika shambulio la bomu linaloaminika kufanywa na kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Mogadishi, mkuu wa Somalia.
-
Jumatatu, tarehe Mosi Julai, 2024
Jun 30, 2024 22:46Leo ni Jumatatu tarehe 24 Dhulhija 1445 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2024.
-
Somalia yamtimua balozi wa Ethiopia kutokana na mgogoro wa mkataba wa bandari ya Somaliland
Apr 04, 2024 22:50Somalia imetangaza kumfukuza balozi wa Ethiopia nchini humo huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo wa makubaliano ya bandari kati ya Ethiopia na eneo lililojitenga la Somaliland.
-
Jumatatu, 25 Machi, 2024
Mar 24, 2024 22:38Leo ni Jumatatu tarehe 14 Ramadhani 1445 Hijria, sawa na tarehe 25 Machi, 2024.
-
'Washauri wa kijeshi' wa Imarati, Bahrain wauawa na al-Shabaab Somalia
Feb 12, 2024 01:08Kwa akali wakufunzi watano wa kijeshi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Bahrain wameuawa katika shambulizi linaloaminika kufanywa na wanachama wa kundi la kigaidi la al-Shabaab huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
Milipuko iliyotokea sokoni Mogadishu yauwa watu 10 na kujeruhi wengine 20
Feb 07, 2024 02:34Takriban watu 10 waliuawa jana baada ya milipuko kadhaa kutokea katika soko lililokuwa na msongamano mkubwa wa watu huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.