Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Somalia

  • Magaidi wa Al Shabab waua watu 17 Mogadishu

    Magaidi wa Al Shabab waua watu 17 Mogadishu

    Jun 15, 2017 02:44

    Magaidi wa kundi la Al Shabab nchini Somalia wamewaua watu 17 katika hoteli moja katika mji mkuu Mogadishu.

  • Marekani yadai kuua wanachama 8 wa al-Shabaab Somalia

    Marekani yadai kuua wanachama 8 wa al-Shabaab Somalia

    Jun 12, 2017 03:15

    Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) imedai kuwa shambulizi la anga la wanajeshi wake limefanikiwa kuangamiza wanachama wanane wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kusini mwa Somalia.

  • Rais wa Puntland ataka jamii ya kimataifa iisaidie Somalia kupambana na al-Shabab

    Rais wa Puntland ataka jamii ya kimataifa iisaidie Somalia kupambana na al-Shabab

    Jun 11, 2017 09:20

    Rais wa eneo lililojitangazia uhuru la Puntland la kaskazini mashariki mwa Somalia ameitaka jamii ya kimataifa iisaidie Somalia katika kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab.

  • Watu 14 wauawa Somalia baada ya wanajeshi kupigana wakigombania chakula

    Watu 14 wauawa Somalia baada ya wanajeshi kupigana wakigombania chakula

    Jun 10, 2017 03:15

    Kwa uchache watu 14 wameuawa kusini magharibi mwa Somalia wengi wao wakiwa ni raia baada ya kuzuka mapigano baina ya wanajeshi wakigombea chakula cha misaada

  • Rais wa Somalia alionya kundi la al-Shabab; aahidi kulipiza kisasi

    Rais wa Somalia alionya kundi la al-Shabab; aahidi kulipiza kisasi

    Jun 09, 2017 10:20

    Rais wa Somalia amelionya kundi la wanamgambo wa kitakfiri na kigaidi al-Shabab na kusema kuwa, jeshi la nchi hiyo litatoa jibu mwafaka kwa hujuma za kigaidi za wanamgambo hao.

  • Kituo cha polisi chashambuliwa Somalia, 23 wauawa na kujeruhiwa

    Kituo cha polisi chashambuliwa Somalia, 23 wauawa na kujeruhiwa

    Jun 05, 2017 09:39

    Watu watatu wameuawa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa katika shambulizi la guruneti dhidi ya kituo cha polisi nchini Somalia mapema leo Jumatatu.

  • FAO yachukua hatua kuzuia makali ya kiangazi Somalia

    FAO yachukua hatua kuzuia makali ya kiangazi Somalia

    Jun 03, 2017 02:47

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetibu mifugo zaidi ya milioni 12 chini ya miezi mitatu iliyopita, kwa shabaha ya kudhibiti makali ya ukame na baa la njaa nchini Somalia.

  • Kamanda mwandamizi wa al-Shabaab ajisalimisha kwa serikali Somalia

    Kamanda mwandamizi wa al-Shabaab ajisalimisha kwa serikali Somalia

    Jun 01, 2017 09:52

    Kamanda mmoja mwandamizi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab amejisalimisha kwa jeshi la taifa la Somalia.

  • Askari wa Somalia, AMISOM waendelea kuwafurusha magaidi wa Al Shabab

    Askari wa Somalia, AMISOM waendelea kuwafurusha magaidi wa Al Shabab

    May 28, 2017 09:22

    Askari wa Jeshi la kitaifa la Somalia (SNA) wakisaidiwa na askari wa Vikosi vya Kulinda Amani vya Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM Jumamosi walikomboa maeneo kadhaa kusini mwa nchi hiyo.

  • Polisi ya Kenya: Tumewatia mbaroni wanachama 33 wa al-Shabab

    Polisi ya Kenya: Tumewatia mbaroni wanachama 33 wa al-Shabab

    May 19, 2017 23:35

    Polisi ya Kenya imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanachama 33 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab miezi minne iliyopita katika mji ulioko karibu na mpaka wa nchi mbili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS