-
Wanajeshi 3 wauawa wakitegua bomu nchini Somalia
May 17, 2017 09:24Kwa akali askari watatu wa jeshi la Somalia wamepoteza maisha baada ya mabomu yaliyokuwa yametegwa ndani ya gari moja lililokamatwa na maafisa usalama kuwalipukia katika mji mkuu Mogadishu.
-
Uganda kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia ili kupambana na ash-Shabab
May 16, 2017 03:45Serikali ya Uganda imetangaza azma yake ya kuongeza idadi ya askari wake nchini Somalia kwa lengo la kupambana na magaidi wa genge la kigaidi na ukufurishaji la ash-Shabab kupitia operesheni ya askari wa kusimamia amani wa Umoja wa Afrika nchini humo.
-
Zaidi ya watu 100 wauawa na kujeruhiwa nchini Somalia
May 14, 2017 11:59Mtandao wa habari wa al Yaum al Saabi' wa nchini Misri umeripoti habari ya kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya watu mia moja katika mapigano nchini Somalia.
-
Zaidi ya watu 100 wauawa na kujeruhiwa nchini Somalia
May 14, 2017 08:20Mtandao wa habari wa al Yaum al Saabi' wa nchini Misri umeripoti habari ya kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya watu mia moja katika mapigano nchini Somalia.
-
Umoja wa Mataifa wataka wakimbizi wa Somalia wasaidiwe
May 13, 2017 02:46Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetoa wito wa kusaidiwa wakimbizi wa Somalia ambao kwa sasa wanahitajia misaada ya haraka kutokana na hali mbaya wanayokabiliwa nayo.
-
Rais wa Somalia aomba msaada wa kimataifa
May 11, 2017 23:12Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia ameiuomba jamii ya kimataifa iisaidie nchi yake katika kupambana na ugaidi, ufisadi na umaskini wa kuchupa mipaka; mambo ambayo amesema ndiye adui mkuu wa nchi hiyo.
-
UN: Dola milioni 900 zinahitajika kunusuru maisha ya Wasomali milioni 6
May 11, 2017 10:29Umoja wa Mataifa umesema unahitajia dola milioni 900 za Marekani kufikia mwishoni mwa mwaka huu kwa ajili ya kunusuru maisha ya raia milioni 6 wa Somalia wanaohitajia misaada ya dharura ya kibinadamu.
-
Kenyatta: Jeshi la Kenya kubakia Somalia hadi Kenya iwe salama
May 10, 2017 09:37Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesisitiza kuwa askari wa nchi hiyo wataendelea kubakia Somalia hadi wafikie lengo la kuihakikishia Kenya usalama.
-
UNHCR: Zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka Kenya
May 09, 2017 23:39Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema kuwa, hadi sasa zaidi ya wakimbizi elfu 60 wa Somalia wamerejeshwa makwao kutoka nchini Kenya.
-
Mripuko wa bomu waua watu sita na kujeruhi wengine kadhaa mjini Mogadishu, Somalia
May 09, 2017 03:40Watu wasiopungua sita wameuawa baada ya bomu lililotegwa garini kuripuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu hapo jana.