-
Sudan yaongeza muda wa usitishaji vita katika maeneo yenye mzozo
Jan 01, 2017 13:05Rais wa Sudan ametangaza kuongeza muda wa usitishaji vita kwa mwezi mmoja mwingine katika maeneo yanayozozaniwa nchini humo.
-
Jumapili, Mosi Januari, 2017
Dec 31, 2016 23:27Leo ni Jumapili tarehe Pili Mfunguo Saba Rabiu Thani 1438 Hijria mwafaka na tarehe Mosi Januari 2017 Miladia.
-
Wabunge Sudan warejesha nafasi ya waziri mkuu
Dec 29, 2016 03:49Wabunge nchini Sudan wamepiga kura ya kubadilisha katiba ili nafasi ya waziri mkuu irejeshwa tena nchini humo baada ya miongo miwili.
-
Serikali ya Sudan yawaachilia huru wapinzani kadhaa wa kisiasa
Dec 27, 2016 01:12Wapinzani kadhaa wa kisiasa nchini Sudan wameachiliwa huru baada ya kushikiliwa na vyombo vya usalama kwa karibu miezi miwili kufuatia kile kilichoelezwa kuwa nia yao ya kutaka kufanya maandamano dhidi ya serikali.
-
Maandamano dhidi ya serikali ya Sudan yaongezeka
Dec 19, 2016 11:20Maandamano dhidi ya serikali ya Sudan yameshadidi sambamba na mgomo wa nchi nzima.
-
Msaidizi wa Rais wa Sudan: Nchi inakabiliwa na matatizo mengi ya ndani na nje
Dec 11, 2016 23:10Msaidizi wa ngazi ya juu wa Rais wa Sudan amekiri kuwa nchi hiyo inakabiliwa na matatizo ya ndani na nje.
-
Vyama vya upinzani Sudan vyataka Rais al-Bashir aondoke madarakani
Dec 03, 2016 10:40Vyama vya upinzani nchini Sudan vimetangaza kuwa, Rais wa nchi hiyo Omar Hassan al-Bashir hana sifa za kuendelea kuiongoza nchi hiyo hivyo anapaswa kuondoka madarakani.
-
Mgomo wa nchi nzima waanza Sudan kulalamikia bei ya mafuta
Nov 28, 2016 12:27Mgomo wa nchi nzima kulalamikia kupungua kwa ruzuku ya mafuta kulikopelekea kupanda kwa bei ya nishati hiyo, umeanza leo nchini Sudan.
-
Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa washambuliwa Sudan
Nov 26, 2016 04:40Watu wenye silaha wamewalenga wafanyakazi wanne ambao ni wajumbe wa kamati ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika katika mji wa Nyala katikati mwa mkoa wa Darfur Kusini nchini Sudan.
-
Upinzani dhidi ya serikali waongezeka nchini Sudan
Nov 26, 2016 00:24Upinzani dhidi ya serikali ya Rais Omar Hassan al-Bashir wa Sudan unaripotiwa kuongezeka huku polisi na vikosi vya usalama vya nchi hiyo vikitumia mabavu kukabiliana na upinzani huo.