-
Wafuasi 23 wa Omar al Bashir watiwa mbaroni nchini Sudan
May 01, 2020 09:10Polisi nchini Sudan wamewatia mbaroni wafuasi 23 wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir.
-
Indhari ya Kiongozi wa Baraza la Utawala la Sudan kuhusu kufanyika mapinduzi nchini humo
Apr 27, 2020 02:12Baada ya kupita takribani mwaka mmoja tangu yalipotokea mageuzi ya kisiasa nchini Sudan yaliyopelekea kuondolewa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Omar Hassan al-Bashir, nchi hiyo ingali inakabiliwa na hali kisiasa inayolegalega.
-
Serikali ya Mpito Sudan: Jamaa wa al Bashir wanapanga njama ya mapinduzi
Apr 26, 2020 20:12Mkuu wa Baraza la Utawala nchini Sudan ametangaza kuwa, watu wa karibu na rais wa zamani wa nchi hiyo, Omar al Bashir wanapanga njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya mpito ya nchi hiyo.
-
Ripoti: UAE inashirikiana na Sudan kuunga mkono waasi wa Haftar nchini Libya
Apr 25, 2020 06:34Gazeti moja la Libya limefichua kuhusu mapatano mapya ya Sudan na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa lengo la kumuunga mkono kinara wa waasi Libya, Jenerali Khalifa Haftar.
-
Mapatano ya serikali ya Sudan na makundi ya wabeba silaha Darfur
Apr 24, 2020 23:35Serikali ya Sudan imefikia mpatano na makundi ya wabeba silaha katika eneo la Darfur magharibi mwa nchi hiyo. Kwa mujibu wa mapatano hayo, viti vinne chini ya anwani ya 'Kamati ya Amani' vitaongozewa Baraza la Mpito la Sudan.
-
Afisa mmoja wa ubalozi wa Marekani ashambuliwa kwa risasi mjini Khartoum Sudan
Apr 24, 2020 02:38Ubalozi wa Marekani nchini Sudan umetangaza kuwa, afisa mmoja wa ubalozi huo amesalimika kifo baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Kharotum.
-
Mali za viongozi wa zama za Omar al-Bashir nchini Sudan zataifishwa
Apr 20, 2020 07:22Serikali ya Sudan imetangaza kuwa, mali za viongozi wa zamani katika kipindi cha uongozi wa Omar Hassan al-Bashir Rais wa zamani wa nchi hiyo zimetaifishwa na kufanywa kuwa mali ya umma.
-
Corona, Sudan yaomba msaada wa matibabu kutoka China
Apr 15, 2020 20:13Serikali ya Sudan imeiomba serikali ya China iisaidie nchi hiyo dawa na vifaa vya matibabu kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Sudan yaipa Sudan Kusini msaada mwingine wa kijeshi kudhamini utekelezaji wa makubaliano ya amani
Apr 06, 2020 08:42Serikali ya Sudan imetuma msaada wa tatu wa kijeshi kwa jirani yake wa kusini, Sudan Kusini ikiwa ni sehemu ya juhudi za kudhamini utekelezaji wa makubaliano ya amani baina ya serikali ya Juba na wapinzani.
-
Kuendelea uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Sudan
Apr 04, 2020 02:43Uingiliaji wa Marekani katika nchi za Afrika kwa njia ya moja kwa moja na isiyo ya moja kwa moja, ungali unaendelea.