Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Mapatano ya awali ya kugawana madaraka yafikiwa Sudan Kusini

    Mapatano ya awali ya kugawana madaraka yafikiwa Sudan Kusini

    Jul 25, 2018 22:33

    Mahasimu nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar Jumatano walitilaina saini mapatano ya awali ya kugawana madaraka.

  • MSF yasimamisha shughuli zake Sudan Kusini baada ya ofisi zake kuvamiwa

    MSF yasimamisha shughuli zake Sudan Kusini baada ya ofisi zake kuvamiwa

    Jul 24, 2018 20:50

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imetangaza habari ya kusimamisha aghalabu ya huduma zake katika kaunti ya Maban, kaskazini mwa Sudan Kusini baada ya ofisi zake kushambuliwa.

  • Mahasimu Sudan Kusini wahindwa kufikia maufaka kuhusu kugawana madaraka

    Mahasimu Sudan Kusini wahindwa kufikia maufaka kuhusu kugawana madaraka

    Jul 20, 2018 09:37

    Utiwaji saini muafaka wa awali wa amani kati ya rais wa Sudan Kusini na mpinzani wake Riek Machar umeahirishwa, baada ya mahasimu hao kushindwa kuafikiana kuhusu namna ya kugawana madaraka.

  • Rais Salva Kiir: Niko tayari kuunda serikali jumuishi ili kuhitimisha mgogogoro Sudan Kusini

    Rais Salva Kiir: Niko tayari kuunda serikali jumuishi ili kuhitimisha mgogogoro Sudan Kusini

    Jul 19, 2018 23:57

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ametangaza kuwa, yuko tayari kuunda serikali ya umoja wa kitaifa itakayojumuisha pande zote kwa mujibu wa makubaliano ya amani yaliyofikiwa kati ya pande husika.

  • Salva Kiir na Riek Machar kutia saini mkataba wa amani Alkhamisi ya kesho

    Salva Kiir na Riek Machar kutia saini mkataba wa amani Alkhamisi ya kesho

    Jul 18, 2018 09:21

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Sudan imetangaza kuwa, pande hasimu nchini Sudan Kusini zimefikia makubaliano ya kugawana madaraka ambayo yatatiwa saini Alkhamisi ya kesho.

  • Baraza la Usalama la UN laiwekea vikwazo Sudan Kusini

    Baraza la Usalama la UN laiwekea vikwazo Sudan Kusini

    Jul 13, 2018 22:51

    Baraza la Usalama la Umoja wa Umoja wa Mataifa limeiwekea vikwazo vya silaha nchi ya Sudan Kusini, karibu miaka mitano sasa baada ya nchi hiyo kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.

  • Upinzani Sudan Kusini wapinga kurefushwa muda wa uongozi wa Kiir

    Upinzani Sudan Kusini wapinga kurefushwa muda wa uongozi wa Kiir

    Jul 13, 2018 03:16

    Saa chache baada ya Bunge la Sudan Kusini kupiga kura na kuunga mkono kurefushwa muda wa Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kubakia madarakani hadi mwaka 2021, upinzani unaoongozwa na Riek Machar umejitokeza na kukosoa vikali hatua hiyo.

  • Rais wa Sudan Kusini kuendelea kubakia madarakani hadi 2021

    Rais wa Sudan Kusini kuendelea kubakia madarakani hadi 2021

    Jul 12, 2018 23:40

    Bunge la Sudan Kusini Alhamisi limepiga kura kurefusha muda wa rais Salva Kiir kubakia madarakani hadi mwaka 2021.

  • Baraza la Usalama kupasisha vikwazo vya silaha dhidi ya Sudan Kusini

    Baraza la Usalama kupasisha vikwazo vya silaha dhidi ya Sudan Kusini

    Jul 12, 2018 00:11

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatazamiwa wiki hii kupasisha pendekezo la kuiwekea vikwazo vya silaha Sudan Kusini, siku chache baada ya pande hasimu katika mgogoro wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kukubaliana kusitisha vita.

  • Raia 232 wameuawa Sudan Kusini miezi miwili iliyopita

    Raia 232 wameuawa Sudan Kusini miezi miwili iliyopita

    Jul 11, 2018 08:57

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limesema raia 232 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa katika maeneo ya Mayendit na Leer nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS