Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Hujuma ya Marekani Syria inaweza sababisha vita vya nyuklia

    Hujuma ya Marekani Syria inaweza sababisha vita vya nyuklia

    Apr 11, 2017 00:56

    Mbunge mmoja nchini Russia amelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kuonya kuwa hujuma hiyo yamkini ikaibua vita vya nyuklia duniani.

  • Rais Rouhani: Shambulio la Marekani Syria lilikuwa kwa ajili ya kufidia kushindwa kwa magaidi

    Rais Rouhani: Shambulio la Marekani Syria lilikuwa kwa ajili ya kufidia kushindwa kwa magaidi

    Apr 10, 2017 10:27

    Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la makombora lililofanywa na Marekani nchini Syria na kueleza kuwa: Shambulio hilo limefanywa kufidia kushindwa kwa magaidi nchini Syria na limewahamasisha magaidi hao kuendelea kufanya jinai zao nchini humo.

  • Mgombea urais Ufaransa: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni kitendo cha jinai

    Mgombea urais Ufaransa: Mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni kitendo cha jinai

    Apr 10, 2017 02:39

    Mgombea urais wa Ufaransa kwa tiketi ya chama cha mrengo wa kushoto amesema kuwa mashambulizi yaliyofanywa siku chache zilizopita na Marekani dhidi ya Syria ni kitendo cha jinai na kisicho cha kuwajibuka na kwamba Rais wa nchi hiyo, Donald Trump amefanya makosa makubwa.

  • Rouhani na Putin walaani vikali mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria

    Rouhani na Putin walaani vikali mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria

    Apr 09, 2017 23:29

    Rais Hassan Rouhani wa Iran na mwenzake wa Russia Vladimir Putin wamelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusema kuwa kitendo hicho kilifanyika ili kuyapa motisha na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Netanyahu: Tutaendelea kuwapa matibabu magaidi wa Syria

    Netanyahu: Tutaendelea kuwapa matibabu magaidi wa Syria

    Apr 09, 2017 23:09

    Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amesema Tel Aviv itaendelea kuwapa matibabu magaidi wanaojeruhiwa katika harakati zao za kujaribu kuingusha serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.

  • Mazungumzo ya Simu ya Marais Rouhani wa Iran na Assad wa Syria

    Mazungumzo ya Simu ya Marais Rouhani wa Iran na Assad wa Syria

    Apr 09, 2017 09:36

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine amelani uvamizi wa Marekani katika nchi huru ya Syria na kuitaja hatua hiyo kuwa ukiukwaji wa sheria na mikataba ya Umoja wa Mataifa.

  • Kiongozi Muadhamu: Hujuma ya Marekani Syria ni kosa la kistratijia

    Kiongozi Muadhamu: Hujuma ya Marekani Syria ni kosa la kistratijia

    Apr 09, 2017 12:12

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."

  • Larijani: Litaundwa kundi la kuchunguza shambulio la kemikali huko Syria

    Larijani: Litaundwa kundi la kuchunguza shambulio la kemikali huko Syria

    Apr 09, 2017 02:33

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amelaani mashambulizi ya makombora ya Marekani huko Syria kwa kisingizio cha kutekelezwa shambulio la kemikali nchini humo na kutaka kuundwa kundi la kuchunguza suala hilo.

  • Makundi  yanayoipinga serikali ya Syria yanaendesha propaganda dhidi yake

    Makundi yanayoipinga serikali ya Syria yanaendesha propaganda dhidi yake

    Apr 09, 2017 02:27

    Kundi moja kwa jina la "Kofia Nyeupe" limetoa mkanda bandia wa video kuhusu shambulio la kemikali lililotekelezwa hivi karibuni katika mji wa Khan Sheikhoun nchini Syria.

  • Trump aliwahi kuandika mara 45 katika twitter kuwa kuishambulia kijeshi Syria ni wazo baya

    Trump aliwahi kuandika mara 45 katika twitter kuwa kuishambulia kijeshi Syria ni wazo baya

    Apr 08, 2017 22:11

    Rais Donald Trump wa Marekani ameonyesha migongano ya wazi katika kauli na vitendo vyake kwa kuamuru kushambuliwa kijeshi kituo cha anga cha jeshi la Syria katika mkoa wa Homs magharibi mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS