-
Marekani yazidisha utumaji misaada ya silaha kwa makundi ya kigaidi nchini Syria
Jan 18, 2017 03:48Huku juhudi za kuandaa kikao cha Astana nchini Kazakhstan kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria zikiwa zinaendelea, duru za habari zimearifu kwamba serikali ya Marekani imeongeza kiwango cha utumaji misaada ya silaha kwa makundi ya kigaidi yanayopigana dhidi ya serikali ya Rais Bashar al-Assad wa Syria.
-
Syria yaapa kulipiza kisasi shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Mezzah
Jan 13, 2017 00:43Jeshi la Syria limetangaza kuwa utawala wa kizayuni wa Israel umeshambulia uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mezzah ulioko magharibi mwa mji wa Damascus na kuutahadharisha utawala huo kuhusu taathira mbaya za shambulizi hilo.
-
Ndege za Marekani zaua raia wengine 11 Raqqah, Syria
Jan 07, 2017 23:42Raia 11 wasio na hatia wamepoteza maisha baada ya ndege za muungano vamizi wa kimataifa unaodai kupambana na Daesh na ambao unaongozwa na Marekani kufanya mashambulizi huko Raqqah, nchini Syria.
-
Jinai za kivita Syria na jukumu la Katibu Mkuu mpya wa UN
Jan 06, 2017 23:49Katika radiamali yake ya kwanza kabisa kuhusiana na mgogoro wa Syria katika kipindi cha katibu mkuu António Guterres, Umoja wa Mataifa umelaani kitendo cha magenge ya kigaidi cha kuwakatia maji wananchi wa Damascus Syria na kusema hiyo ni jinai ya kivita.
-
Muungano wa Marekani waharibu kwa makusudi miundombinu ya Syria
Jan 05, 2017 01:04Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa muungano unaoongozwa na Marekani unabomoa kwa makusudi miundombinu ya Syria.
-
Syria na hujuma ya vyombo vya habari vya Magharibi
Jan 04, 2017 08:15Mji wa Halab au Aleppo ulioko kaskazini mwa Syria umeshuhudia matukio mengi na ya aina mbalimbali katika kipindi cha miaka elfu tatu ya umri wake. Sehemu kubwa ya mji huo mkongwe sasa imeharibiwa na kuwa magofu katika miaka minne ya vita na mashambulizi ya makundi mbalimbali ya kigaidi.
-
Dakta Veleyati: Katu Iran haitolitelekeza taifa la Syria
Jan 04, 2017 04:09Ali Akbar Velayati, Mshauri Mkuu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei amesema hakuna siku Jamhuri ya Kiislamu itawatelekeza wananchi na serikali ya Syria.
-
Jumatano 4 Januari, 2017
Jan 04, 2017 00:24Leo ni Jumatano tarehe 5 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Januari 4, 2017.
-
Marekani yakiri kuuliwa raia katika mashambulizi huko Syria
Jan 03, 2017 03:46jeshi la Marekani limekiri kuwa makumi ya raia wameuawa katika mashambulizi ya anga ya ndege za kivita za nchi hiyo huko Syria.
-
Velayati: Wapinzani wabeba silaha wa Syria hawatoshirikishwa katika mazungumzo ya Astana
Jan 02, 2017 00:48Mkuu wa kituo cha utafiti wa kistratjia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema, wapinzani wabeba silaha wa Syria hawatoshirikishwa katika mazungumzo yajayo ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo yaliyopangwa kufanyika katika mji mkuu wa Kazakhstan, Astana.