-
Rais Rouhani: Iran inakaribisha kwa mikono miwili usitishaji vita nchini Syria
Dec 31, 2016 13:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inakaribisha kwa mikono miwili usitishaji vita nchini Syria na kusisitiza kwamba, kuna haja ya kuwa macho ili usitishaji vita huo usitumiwe kama fursa ya kujiimarisha makundi ya kigaidi.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Syria wafanya mazungumzo mjini Tehran
Dec 31, 2016 11:36Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria wamekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na kujadili masuala mbalimbali ya kieneo na kimatifa.
-
Hizbullah: Tutabakia Syria hadi magaidi wote waangamizwe
Dec 30, 2016 03:33Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah amesema wanamapambano wa muqawama wako nchini Syria katika fremu ya ushirikiano na serikali ya Damascus na kusisitiza kuwa wataendelea kubakia nchini humo hadi magaidi watakapotokomezwa kikamilifu.
-
Makubaliano ya kutekeleza usitishaji vita kote nchini Syria yafikiwa
Dec 29, 2016 11:04Komandi kuu ya vikosi vya ulinzi vya Syria imetangaza habari ya kufikiwa mapatano ya kusimamisha vita na kutekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano kote nchini Syria.
-
Guterres: Mgogoro wa Syria ni saratani ya kimataifa
Dec 29, 2016 03:41Katibu Mkuu mteule wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema mgogoro wa Syria umegeuka na kuwa 'saratani ya kimataifa.'
-
Syria yaendeleza oparesheni dhidi ya magaidi karibu na Damascus
Dec 27, 2016 23:21Jeshi la Syria limeanzisha oparesheni kali ya kuwapokonya magaidi udhibiti wa eneo la kistratijia karibu na Damascus ambalo lina chemichemi ambayo maji yake yanatumika katika mji mkuu huo.
-
Iran yatuma misaada zaidi ya kibinaadamu Aleppo, Syria
Dec 27, 2016 11:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma shehena zingine mbili za misaada ya kibinadamu katika mji wa Aleppo (Halab) uliokombolewa hivi karibuni kutoka mikononi mwa magaidi wakufurishaji.
-
Saudia inaendelea kutoa misaada ya kifedha kwa magaidi Syria
Dec 27, 2016 11:17Saudia Arabia hivi karibuni imetoa msaada mwingine wa Riali Milioni 100 za Kisaudi ($ Milioni 26.5) kwa ajili ya magaidi nchini Syria.
-
Iran na Russia; juhudi za kidiplomasia za kuanzisha mazungumzo ya kisiasa kuhusu Syria
Dec 25, 2016 09:28Jitihada za kidiplomasia zinafanyika tena kwa ajili ya kuanzisha mazungumzo ya kisiasa huko Syria baada ya kukombolewa mji wa kistratejia wa Halab (Aleppo) kutoka mikononi mwa magaidi wa Daesh.
-
Russia kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria
Dec 24, 2016 12:14Mbunge mmoja wa Russia amesema kuwa, Moscow imeamua kuimarisha nguvu zake za kijeshi nchini Syria.