-
Putin ampongeza Bashar Assad kwa kukombolewa kikamilifu Aleppo
Dec 23, 2016 23:37Rais Vladimir Putin wa Russia amempigia simu mwenzake wa Syria, Bashar al-Assad, na kumpongeza kutokana na kukombolewa kikamilifu mji wa Aleppo (Halab), uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria.
-
Ayatullah Siddiqi: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Waislamu wote duniani
Dec 23, 2016 12:55Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amepongeza wanajeshi wa Syria na vikosi vya vya kujitolea vya wananchi kwa kuukomboa mji wa Aleppo (Halab) uliokuwa ukishikiliwa na magaidi huko kaskazini mwa Syria, na kubainisha kuwa, ushindi huo sio tu wa taifa la Syria bali ni ushindi pia kwa Waislamu wote duniani.
-
Ndege za kivita za Uturuki zauwa raia kaskazini mwa Syria
Dec 23, 2016 03:18Makumi ya raia wameuliwa katika mashambulizi ya ndege za kivita za Uturuki kaskazini mwa Syria.
-
Magaidi wasafishwa kikamilifu katika mji wa Halab Syria, wananchi washerehekea + Video
Dec 23, 2016 00:35Mji wa Halab yaani Aleppo huko kaskazini mwa Syria hivi sasa umesafishwa kikamilifu baada ya magaidi kufurushwa katika mji huo baada ya kuteka baadhi ya maeneo yake na kufanya jinai kwa muda wa zaidi ya miaka minne.
-
Assad: Kukombolewa Aleppo ni ushindi kwa Syria, Iran na Russia
Dec 22, 2016 11:15Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kukombolewa kikamilifu mji wa kistratejia wa Aleppo (Halab), kaskazini magharibi mwa nchi ni ushindi mkubwa sio tu kwa taifa hilo, bali pia kwa Iran na Russia.
-
Syria yataja majina ya maafisa wa kigeni iliowatia mbaroni Halab; wamo Wamarekani, Wazayuni, Wasaudia
Dec 21, 2016 05:08Jeshi la Syria limefanikiwa kuwatia mbaroni maafisa wengi wa kigeni waliokuwa wanashirikiana na magaidi kufanya jinai dhidi ya wananchi na maafisa wa serikali ya nchi hiyo, huko mashariki mwa mji uliokombolewa wa Halab.
-
Dakta Zarif: Iran, Russia na Uturuki zimesisitiza juu ya kuhifadhiwa ardhi yote ya Syria
Dec 21, 2016 03:45Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikao cha pande tatu cha Iran, Russia na Uturuki kilichofanyika Moscow mji mkuu wa Russia kimesisitiza juu ya kuhitimishwa mgogoro wa Syria kupitia mazungumzo ya kisiasa.
-
Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa Iran na Russia katika kuwasaidia wananchi wa Syria
Dec 20, 2016 00:43Marais wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuwasaidia wananchi wa Syria.
-
Ayatullah Amoli Larijani: Syria si mahala salama tena kwa magaidi
Dec 19, 2016 23:36Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Syria si mahala salama tena kwa magaidi na waungaji mkono wao wa Mashariki ya Kati na wa nje ya eneo hili.
-
Maeneo ya Halab nchini Syria yazidi kupata utulivu
Dec 19, 2016 00:54Mji wa Halab wa kaskazini mwa Syria umezidi kuwa na utulivu baada ya makundi ya kigaidi kufurushwa mjini humo.