Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Mufti Mkuu wa Syria aishukuru Iran kwa misaada yake

    Mufti Mkuu wa Syria aishukuru Iran kwa misaada yake

    Dec 15, 2016 10:48

    Mufti Mkuu wa Syria ameishukuru Iran kwa misaada yake kwa wakazi wa mji wa Halab (Aleppo) kaskazini mwa Syria.

  • Marekani, mhusika wa kujitokeza ugaidi katika Mashariki ya Kati

    Marekani, mhusika wa kujitokeza ugaidi katika Mashariki ya Kati

    Dec 15, 2016 08:11

    Vitalin Churkin, balozi na mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema uingiliaji wa Marekani katika nchi za Iraq na Syria ndio uliosababisha kujitokeza Daesh na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati. Churkin aidha amesema Uingereza na Ufaransa ni washirika wa jinai za Marekani katika kuvuruga amani Mashariki ya Kati.

  • Kukombolewa Halab ni ushindi mkubwa na wa kistratejia

    Kukombolewa Halab ni ushindi mkubwa na wa kistratejia

    Dec 15, 2016 00:37

    Kufuatia kukombolewa kikamilifu mji wa Halab au kwa jina jingine Aleppo kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri, wakazi wa mji huo siku ya Jumanne walimiminika mabarabarani na mitaani kusherehekea kwa vifijo na nderemo ushindi huo mkubwa na wa kistratijia.

  • Assad: Wamagharibi wanawapa himaya magaidi na sio raia

    Assad: Wamagharibi wanawapa himaya magaidi na sio raia

    Dec 15, 2016 00:52

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema serikali za nchi za Magharibi zinawapa himaya na kuwakingia kifua magaidi wanaofanya jinai nchini humo na wala hazijali hali ya raia wa kawaida wa nchi hiyo.

  • Hatimaye mji wa Aleppo nchini Syria wakombolewa kikamilifu

    Hatimaye mji wa Aleppo nchini Syria wakombolewa kikamilifu

    Dec 13, 2016 01:02

    Hatimaye wanajeshi wa Syria wakishirikiana na wanamapambano wa kujitolea wameukomboa kikamilifu mji wa Aleppo (Halab).

  • Russia: Hatujaafikiana chochote na US kuhusu magaidi wa Aleppo

    Russia: Hatujaafikiana chochote na US kuhusu magaidi wa Aleppo

    Dec 12, 2016 03:48

    Serikali ya Russia imekanusha ripoti za kipropaganda zinazodai kuwa nchi hiyo imesaini mapatano na Marekani ya kuwapa kinga na msamaha magaidi waliosalia katika mji wa Aleppo nchini Syria.

  • Hizbullah ya Lebanon yasifu ushindi mkubwa wa muqawama huko Halab, Syria

    Hizbullah ya Lebanon yasifu ushindi mkubwa wa muqawama huko Halab, Syria

    Dec 11, 2016 11:19

    Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesifu na kupongeza ushindi muhimu wa kimuqawama katika mji wa Halab (Aleppo) huko Syria.

  • Syria yalaani azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    Syria yalaani azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    Dec 10, 2016 04:00

    Syria imelaani azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linalotaka kusimamishwa "mara moja" mapambano dhidi ya makundi yanayobeba silaha ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Jeshi la Syria laendeleza mashambulizi dhidi ya magaidi huko Halab

    Jeshi la Syria laendeleza mashambulizi dhidi ya magaidi huko Halab

    Dec 09, 2016 10:49

    Duru za Syria zimearifu kuwa jeshi la nchi hiyo limeendelea kuwashambulia magaidi ili kuukomboa kikamilifu mji wa kihistoria wa Halab yaani Aleppo.

  • Ulinzi waimarishwa katika mpaka wa Iraq na Syria

    Ulinzi waimarishwa katika mpaka wa Iraq na Syria

    Dec 09, 2016 04:09

    Duru za usalama nchini Iraq zimetangaza kuwa, usalama umeimarishwa katika mpaka wa nchi hiyo na Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS