-
Bashar Assad asisitiza kushindwa njama za Magharibi huko Syria na katika eneo
Dec 08, 2016 07:47Akizungumza katika mahojiano na gazeti la Al Watan, Rais wa Syria amesema kuwa Halab au kwa jina jingine Aleppo ndilo tumaini la mwisho la magaidi nchini humo baada ya kushindwa kwao huko Damascus na Homs na kwamba kukombolewa kikamilifu mji huo kutabadili mwenendo wa vita huko Syria.
-
Assad: Kuikomboa Aleppo, hatua kubwa ya kumaliza vita Syria
Dec 08, 2016 01:05Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema iwapo jeshi la nchi hiyo litafanikiwa kuukomboa mji wa Aleppo, itakua ni hatua kubwa ya kuelekea kumaliza vita na harakati za kigaidi katika nchi hiyo.
-
Viongozi wa kundi la Daesh watoroka mji wa Mosul
Dec 06, 2016 04:14Vyombo vya kuaminika katika mkoa wa Nineveh huko kaskazini mwa Iraq vimeripoti kuwa, makamanda wa kundi la Daesh akiwemo kiongozi wa kundi hilo, Abu Bakar al Baghdadi, wameukimbia mji wa Mosul na kuelekea katika maeneo ya mpaka wa Iraq na Syria.
-
Uingereza, Marekani zinawatumia magaidi misaada ya silaha
Dec 06, 2016 00:08Marekani na Uingereza zinapanga mikakati mipya kuhusu namna ya kuwafikishia silaha magaidi katika maeneo wanayoyadhibiti ya Aleppo au Halab nchini Syria.
-
Magaidi 50 waangamizwa na jeshi la Syria katika miji ya Idlib na Hama
Dec 05, 2016 04:38Magaidi wasiopungua 50 wameangamizwa nchini Syria kufuatia mashambulio ya kijeshi ya jeshi la nchi hiyo katika viunga vya miji ya Idlib na Hama.
-
Silaha za kisasa za Marekani mikononi mwa magenge ya kigaidi
Dec 05, 2016 03:04Habari kutoka nchini Marekani zinasema kuwa, bunge la nchi hiyo limeipa idhini Serikali kuyaimarisha kwa silaha za kisasa magenge ya kigaidi yanayofanya mauaji nchini Syria.
-
Jeshi la Syria laendeleza operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi
Dec 04, 2016 11:32Kikosi cha anga cha Syria kimefanya mashambulio makubwa dhidi ya ngome za kundi la kigaidi linalojulikana kama Jaish al-Fat'h katika maeneo ya kaskazini mwa mji wa Hama ulioko magharibi mwa nchi hiyo.
-
Madai ya makosa ya kibinadamu, mbinu kuu ya kuhalalisha jinai za Marekani
Dec 01, 2016 08:38Tume ya uchunguzi ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imekiri rasmi kuwa ndege za kivita za nchi hiyo zilishambulia maeneo ya wanajeshi wa Syria huko Deir ez-Zor, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Ndege za kivita za Israel zaihujumu Syria
Nov 30, 2016 04:22Ndege za kivita za utawala haramu wa Israel zimevurumisha makombora manne katika maeneo mawili nchini Syria karibu na barabara inayounganisha mji mkuu wa Syria, Damascus na mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Syria yajibu madai ya nchi za Magharibi kuhusu silaha za kemikali
Nov 30, 2016 00:43Syria imekadhibisha madai yaliyotolewa na nchi za Magharibi zinazodai kuwa, jeshi la nchi hiyo limetumia silaha za kemikali katika mapambano yake dhidi ya makundi ya kigaidi.