Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Askari watano wa Marekani wauawa kaskazini mashariki mwa Syria

    Askari watano wa Marekani wauawa kaskazini mashariki mwa Syria

    Nov 27, 2016 13:27

    Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, wanajeshi watano wa Marekani na wanamgambo wawili wa Kikurdi wameuawa katika kambi moja ya kijeshi inayomilikiwa na magenge ya kigaidi katika kiunga cha mji wa Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria.

  • Moscow: Magharibi inanyamazia kimya utumiaji wa silaha za sumu wa magaidi Syria

    Moscow: Magharibi inanyamazia kimya utumiaji wa silaha za sumu wa magaidi Syria

    Nov 26, 2016 11:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amezikosoa nchi za Magharibi kwa kunyamazia kimya vitendo vya makundi ya kigaidi vya kutumia silaha za kemikali nchini Syria.

  • Ndege za Marekani zashambulia kambi ya wakimbizi Syria, zaua watu kadhaa

    Ndege za Marekani zashambulia kambi ya wakimbizi Syria, zaua watu kadhaa

    Nov 25, 2016 01:24

    Raia kadhaa wa Syria waliokuwa wakiishi katika kambi ya wakimbizi eneo la Al-Raqqah, wamepoteza maisha yao katika shambulizi lililofanywa na ndege za kijeshi za Marekani dhidi yao.

  • Rais Assad atilia mkazo umuhimu wa uungaji mkono wa Russia kwa Syria

    Rais Assad atilia mkazo umuhimu wa uungaji mkono wa Russia kwa Syria

    Nov 22, 2016 13:04

    Rais Bashar al-Assad wa Syria ametilia mkazo uungaji mkono wa Russia kwa nchi yake katika nyanja tofauti hususan ya kiuchumi kwa ajili ya kupunguza machungu na mateso yanayowakabili wananchi wa Syria.

  • Russia: Marekani inafanya propaganda chafu kuhusu hospitali za Aleppo

    Russia: Marekani inafanya propaganda chafu kuhusu hospitali za Aleppo

    Nov 20, 2016 00:54

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Russia amesema kuwa, madai ya kushambuliwa hospitali katika mji wa Aleppo nchini Syria ni wenzo wa kipropaganda unaotumiwa na Marekani dhidi ya serikali ya Moscow.

  • Rais Assad: Sina imani na Trump lakini akiwa na nia ya kweli ya kupambana na ugaidi, Syria itashirikiana naye

    Rais Assad: Sina imani na Trump lakini akiwa na nia ya kweli ya kupambana na ugaidi, Syria itashirikiana naye

    Nov 17, 2016 01:13

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, ikiwa Donald Trump, rais mteule wa Marekani atapambana kwa dhati na magaidi, basi serikali yake itashirikiana naye.

  • Jumapili, 13 Novemba, 2016

    Jumapili, 13 Novemba, 2016

    Nov 13, 2016 05:18

    Leo ni Jumapili tarehe 13 Swafar mwaka 1438 Hijria, sawa na tarehe 13 Novemba, 2016 Miladia.

  • UN yawasilisha mpango wa kuunusuru mji wa Aleppo, Syria

    UN yawasilisha mpango wa kuunusuru mji wa Aleppo, Syria

    Nov 11, 2016 11:51

    Mshauri wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa huko Syria amesema kuwa umoja huo umewasilisha mpango wenye vipengee vinne kwa ajili ya kuunusuru mji wa Aleppo kutoka katika udhibiti wa magaidi.

  • Syria: Jinai za magaidi zitakoma kwa kusimamishwa misaada wanayopata kutoka nje

    Syria: Jinai za magaidi zitakoma kwa kusimamishwa misaada wanayopata kutoka nje

    Nov 11, 2016 04:32

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesema jinai za makundi ya kigaidi dhidi ya raia wasio na hatia wa nchi hiyo zitakoma pale tu utakapohitimishwa uungaji mkono na misaada kutoka nje inayotolewa kwa magaidi hao.

  • Zarif: Msaada wa kibinadamu kwa Yemen na Syria, jambo la dharura

    Zarif: Msaada wa kibinadamu kwa Yemen na Syria, jambo la dharura

    Nov 10, 2016 10:42

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema msaada wa kibinadamu kwa ajili ya watu wa Yemen na Syria ni jambo la dharura.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS