-
Putin: Syria ni uwanja wa kudhihirisha azma ya dunia ya kupambana na ugaidi
Nov 10, 2016 03:35Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, Syria ni medani ya kuonesha azma na ustahiki wa jamii ya kimataifa kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Manowari za Russia kushambulia magaidi Aleppo, Syria
Nov 09, 2016 04:37Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema hii leo vikosi vyake vya majini vitaanzisha operesheni kali ya kuangamiza magaidi katika mji wa Aleppo nchini Syria.
-
Zarif asisitiza kukomeshwa mauaji ya raia katika nchi za Syria na Yemen
Nov 08, 2016 23:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametaka kukomeshwa mara moja mauaji ya raia katika nchi za Syria na Yemen.
-
Operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqah Syria yaanza
Nov 07, 2016 00:46Askari wa chama cha Umoja wa Kidemokrasia cha Wakurdi wa Syria kimeanzisha operesheni ya kuukomboa mji wa Raqqah wa kaskazini mwa Syria kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS).
-
Magaidi 500 wauawa, 1000 wajeruhiwa Aleppo chini ya masaa 24
Oct 30, 2016 03:43Mamia ya magaidi wameangamizwa na jeshi la Syria likishirikiana na vikosi vya kujitolea vya wananchi mjini Aleppo, kusini mashariki mwa nchi, chini ya masaa 24 yaliyopita.
-
Magaidi 600 wajisalimisha kwa jeshi la Syria
Oct 24, 2016 00:10Magaidi 600 na watu wenye silaha wamejisalimisha kwa jeshi la Syria magharibi mwa Damascus mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Syria: Magaidi wanazuia raia kutoka mji wa Aleppo
Oct 21, 2016 10:23Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wanawazuia raia kuugura mji wa Aleppo, ambao kwa sasa unashuhudia makabiliano makali kati ya vikosi vya serikali na magenge ya kigaidi.
-
Mufti wa Syria awataka magaidi kujisalimisha huko Aleppo
Oct 21, 2016 01:12Mufti wa Syria amewataka magaidi walioko nchini humo kujisalimisha wenyewe kabla ya kuanza operesheni kubwa na ya pande zote ya jeshi la nchi hiyo ya kukomboa kikamilifu maeneo yote ya mji huo.
-
Russia yaionya Marekani dhidi ya kuwatoa magaidi Iraq hadi Syria
Oct 20, 2016 00:34Russia imeionya Marekani dhidi ya kuwafurusha wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh kutoka Iraq hadi Syria, katika mashambulizi yake ya kuukomboa mji wa Mosul, kaskazini mwa Iraq.
-
Assad: Mashambulizi ya Aleppo yanalenga kuwapa usalama raia
Oct 19, 2016 11:53Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwaangamiza magaidi katika mji wa Aleppo, kaskazini magharibi mwa nchi ndio chagua la pekee na la kisheria la kuwadhaminia usalama raia.