-
Rais Assad: Saudia ilinipa sharti la kukata uhusiano na Iran ili niwe muitifaki wake
Oct 15, 2016 04:54Rais Bashar al-Assad wa Syria amefichua kuwa, Saudi Arabia ilimpa sharti la kukata uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ili iwe mwitifaki wake sanjari na kupata misaada yake.
-
Russia: Hatuna matumaini ya kufanikiwa mazungumzo ya Lausanne
Oct 15, 2016 00:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametabiri kuwa mazungumzo yatakayofanyika leo (Jumamosi) katika mji wa Lausanne nchini Uswisi kuhusu Syria hayatakuwa na natija ya maana.
-
Saudia ilishambulia kwa makusudi kikao cha maombolezo mjini Sanaa
Oct 12, 2016 00:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia ilishambulia kwa makusudi kikao cha khitma na maombolezo mjini Sanaa ambapo mamia ya watu waliuawa na kujeruhiwa siku ya Jumamosi.
-
Magaidi wa Kiwahabi washambulia shule Syria, waua wanafunzi
Oct 11, 2016 11:50Magaidi wa Kiwahabi wamefanya shambulio dhidi ya shule moja kusini mwa Syria na kuua watoto kadhaa waliokuwa darasani.
-
Kuongezeka uungaji mkono wa Marekani kwa magaidi wa Syria
Oct 11, 2016 03:11Duru za habari zimeripoti kuwa, baada ya dola la kibeberu la Marekani kuwapatia magaidi wa Syria makombora ya Grad, hivi sasa Washington imeyapa magenge hayo makombora ya kutungulia ndege ya kubeba begani.
-
Mgogoro wa Syria na ukwamishaji wa viongozi wa Marekani
Oct 08, 2016 02:50Marekani imekuwa ikifanya njama mbalimbali za kukwamisha jitihada za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa nchi ya Kiarabu ya Syria, suala ambalo limewafanya maafisa wa Umoja wa Mataifa washindwe kuvumilia na kuamua kuilalamikia Marekani kwa njama zake hizo.
-
Russia yaipatia Syria ngao ya ulinzi ya makombora ya S 300 kwa ajili ya kujilinda
Oct 04, 2016 11:36Duru za habari zimeripoti kujiri makabidhiano ya ngao ya ulinzi ya makombora ya S 300 kati ya Russia na serikali halali ya Syria. Viongozi wa Marekani wametangaza kuwa, tayari Russia imeikabidhi ngao hiyo ya makombora serikali ya Damascus.
-
Raia wa Syria watumiwa kama ngao ya binadamu
Oct 03, 2016 23:27Raia zaidi ya 100 wameuawa huko Syria katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.
-
Magaidi wazidi kuangamizwa katika maeneo tofauti ya Syria
Oct 03, 2016 03:55Habari kutoka nchini Syria zinasema kuwa, makumi ya magaidi wanaendelea kuuawa katika mashambulizi ya jeshi la Syria na ndege za Russia.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika hujuma Aleppo Syria
Oct 01, 2016 04:42Habari kutoka Syria zinasema kwa akali watu 18 wameuwa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika hujuma ya maroketi iliyotekelezwa na makundi ya kitakfiri katika eneo la makazi ya watu mjini Aleppo.