-
Israel yashambulia kwa makombora mashariki mwa Qunaitra, kusini mwa Syria
Feb 23, 2022 03:42Duru za habari nchini Syria zimetangaza kuwa, wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameshambulia kwa makombora maeneo ya karibu na mji wa Qunaitra nchini Syria.
-
Syria yazuia mashambulio ya Wazayuni dhidi yake
Feb 09, 2022 04:00Vyanzo vya Syria vimeripoti leo alfajiri kwamba mifumo ya ulinzi wa anga ya nchi hiyo imefanikiwa kuzuia mashambulio yaliyofanywa na utawala ghasibu wa Israel kuulenga mji mkuu wa nchi hiyo Damascus.
-
Syria yaipongeza AU kwa kusimamisha uanachama wa Israel katika jumuiya hiyo
Feb 07, 2022 23:19Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Syria imekaribisha uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusimamisha hadhi ya uanachama mwangalizi ya utawala wa Kizayuni Israel katika jumuiya hiyo.
-
Marekani yaua watoto, wanawake katika operesheni ya kijeshi Syria
Feb 03, 2022 09:18Kwa akali raia 13 wakiwemo watoto saba na wanawake watatu wameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani dhidi ya wakazi wa mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Rais wa Syria asifu na kupongeza sera na misimamo ya Oman kuhusiana na nchi yake
Feb 01, 2022 04:14Rais Bashar al Assad wa Syria ameipongeza Oman kutokana na nafasi yake kuu na yenye mlingano kuhusiana na nchi yake.
-
Takwa la Russia kwa ajili ya kuondoka haraka vikosi vamizi ajinabi huko Syria
Jan 29, 2022 08:46Dmitry Polyanskiy Naibu Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika hotuba yake katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa Russia inataka kuondoka haraka iwezekanavyo vikosi vyote vamizi ajinabi ambavyo vipo kinyume cha sheria huko Syria.
-
Syria: Silaha za nyuklia za Israel zinatishia amani magharibi mwa Asia
Jan 28, 2022 07:01Mwakilishi wa Syria katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amezitaja silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa usalama na amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Russia yatoa wito wa kuondoka majeshi ya kigeni katika ardhi ya Syria
Jan 28, 2022 03:20Naibu mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuondoka mara moja wanajeshi wote wa kigeni walioko nchini Syria.
-
Amir-Abdollahian: Mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa bila kuzingatia wakimbizi, vikwazo
Jan 16, 2022 08:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kama suala la wakimbizi na vikwazo dhidi ya Syria halitazingatiwa, haitawezekana kusimamia utatuzi wa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia inayofaa."
-
Wanajeshi magaidi wa Marekani waiba makumi ya malori ya mafuta ya Syria
Jan 10, 2022 08:33Duru za kiusalama za Syria zimetangaza kuwa, muungano vamizi unaoongozwa na wanajeshi magaidi wa Marekani umeiba malori mengine 79 ya mafuta ya Syria na kuyaingiza nchini Iraq.