-
Tanzania yawataka wanahabari kutekeleza vyema majukumu yao + Sauti, Video
Dec 24, 2018 03:31Dk Hassan Abbas, msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania amewataka waandishi wa habari nchini humo kutambua haki na kutimiza vyema wajibu wao.
-
Mkutano wa marais wa EAC wafutwa tena
Dec 20, 2018 11:34Mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao ulikuwa umepangwa kufanyika Arusha Tanzania umefutwa kwa mara ya pili ndani ya wiki tatu.
-
Vyama 6 vya siasa Tanzania vyajadili demokrasia katika mkutano wa Zanzibar+SAUTI
Dec 18, 2018 14:58Viongozi na wanachama waandamizi wa Vyama sita vya siasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekutana visiwani Zanzibar hii leo na kujadili juu ya dira ya taifa.
-
Bakwata yaadhimisha miaka 50 ya kuasisiwa kwake+SAUTI
Dec 18, 2018 13:10Huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA likitimiza miaka 50 tangu kuasisiwa kwake, MUFTI Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar bin Zubeir amewataka waalimu wa elimu ya dini kujifunza elimu zinazoendana na mazingira yao, ikiwemo sayansi na teknolojia.
-
Tanzania na Misri zasaini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Stieglers Gorge+SAUTI
Dec 13, 2018 12:31Rais Dkt John Pombe Magufuli wa Tanzania na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly, wameshiriki utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Rufiji (Stieglers Gorge).
-
WHO: Kesi 36 mpya za Ebola ziripotiwa DRC
Nov 30, 2018 01:03Hatari wa kuenea ugonjwa habari wa Ebola imeongezeka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi zinazopakana nayo baada ya kesi nyingine 36 kugunduliwa karibu na mpaka wa nchi hiyo katika wiki iliyomalizikia kwenye Novemba 29.
-
Magufuli: Wapinzani watulie la sivyo wataishia gerezani
Nov 27, 2018 11:40Rais John Magufuli wa Tanzania amempa ujumbe Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo Edward Lowasa awaambie viongozi wengine wa vyama vya upinzani kwamba watulie “la sivyo wataishia magerezani”.
-
ACT-Wazalendo yalaani uonevu kwa wavuvi Tanzania, naye Sheikh Ponda alilia katiba mpya
Nov 25, 2018 13:39Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani vikali vitendo vya ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu vinavyofanywa dhidi ya wavuvi katika operesheni mbalimbali zinazotekelezwa nchini chini ya usimamizi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
-
Mbowe na Mbunge Ester Matiko wapelekwa mahabusu kwa muda usiojulikana nchini Tanzania
Nov 23, 2018 11:44Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Tanzania, imewafutia dhamana Mwenyekiti wa chama cha Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Matiko kwa madai ya ukiukaji wa masharti ya dhamana, na kuanzia sasa watakuwa rumande hadi hapo kesi yao itakapomalizika.
-
Lema: Ni kosa kubwa kwa Benki Kuu ya Tanzania kuwatumia wanajeshi katika masuala ya kiraia
Nov 21, 2018 12:35Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, ametupilia mbali hoja za Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo, Profesa Florens Luoga kwamba, waliwatumia askari wa jeshi la wananchi (JWTZ) katika operesheni ya kulinda usalama wa maduka ya kubadilisha fedha, kwa kuwa kulikuwa na uhaba wa polisi.