Tanzania yawataka wanahabari kutekeleza vyema majukumu yao + Sauti, Video
Dec 24, 2018 03:31 UTC
Dk Hassan Abbas, msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania amewataka waandishi wa habari nchini humo kutambua haki na kutimiza vyema wajibu wao.
Vile vile Abbas amewataka waandishi wa habari hao kutumia tasnia hiyo kulinda amani, mila na tamaduni za jamii wanayoishi na watumie njia sahihi kuikosoa serikali na kuhamasisha maadili mema. Amesema, kazi ya uandishi wa habari ni sawa na ile ya Mitume wa Mwenyezi Mungu.
Ammari Dachi ametuandalie ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
Tags