Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Mufti wa Tanzania: Masheikh wa mikoa yote nchini endeleeni kukemea vitendo vya ushoga

    Mufti wa Tanzania: Masheikh wa mikoa yote nchini endeleeni kukemea vitendo vya ushoga

    Nov 20, 2018 12:04

    Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi, amewataka masheikh na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini humo kukemea vitendo vya ushoga.

  • Kenya yawakamata wavuvi 16 wa Tanzania kwa kuingia katika maji yake

    Kenya yawakamata wavuvi 16 wa Tanzania kwa kuingia katika maji yake

    Nov 19, 2018 00:46

    Polisi ya Kenya imewatia nguvuni wavuvi 16 raia wa Tanzania, kwa kuingia katika ardhi yake na kuvua samaki kinyume cha sheria.

  • Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti

    Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti

    Nov 16, 2018 03:20

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam

  • Tanzania yazidi kubanwa, Denmark na Benki ya Dunia zaifutia ruzuku, mikopo

    Tanzania yazidi kubanwa, Denmark na Benki ya Dunia zaifutia ruzuku, mikopo

    Nov 15, 2018 11:56

    Serikali ya Denmark imefuta mpango wake wa kuipa Tanzania msaada wa dola milioni 10 za Marekani, kulalamikia kile ilichotaja kama rekodi mbaya ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo, na matamshi 'yasiyokubalika' dhidi ya mashoga.

  • Mufti wa Tanzania awahimiza Waislamu kujifunza sayansi + Sauti

    Mufti wa Tanzania awahimiza Waislamu kujifunza sayansi + Sauti

    Nov 11, 2018 14:03

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi bin Ali amewataka Waislamu wa Tanzania kujiendeleza na kujitanua katika nyanja mbalimbali za kielimu hasa katika sekta ya sayansi na teknologia ili kuiendeleza dini ya Kiislamu kwa njia bora zaidi. Ammari Dachi na taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Serikali ya Tanzania yaahidi kutafuta soko la uhakika la korosho + Sauti

    Serikali ya Tanzania yaahidi kutafuta soko la uhakika la korosho + Sauti

    Nov 08, 2018 13:10

    Serikali ya Tanzania imewataka wananchi hususan wakulima wa korosho nchini humo kuendelea kuwa watulivu wakati ikiendelea kuongea na wanunuzi wakubwa wa korosho kutoka maeneo mbalimbali duniani ili kupata masoko ya uhakika wa zao hilo. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Mchungaji Msigwa: Wafanyabiashara wakubwa nchini Tanzania hawana amani wala uhuru       

    Mchungaji Msigwa: Wafanyabiashara wakubwa nchini Tanzania hawana amani wala uhuru      

    Nov 07, 2018 04:25

    Mbunge wa Iringa Mjini nchini Tanzania kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa, wafanyabiashara wakubwa nchini humo hawana raha wala uhuru wa kufanya biashara ndani ya nchi hiyo.

  • Suitafahamu yaibuka kuhusu kuondoka balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania

    Suitafahamu yaibuka kuhusu kuondoka balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania

    Nov 03, 2018 04:47

    Duru za habari nchini Tanzania zimeeleza kuwa, balozi wa Umoja wa Ulaya nchini humo, Roeland Van de Geer ameondoka nchi hiyo, huku ikielezwa kuwa huwenda amepewa notisi iliyomtaka kuondoka Tanzania.

  • Polisi Tanzania: Waliomteka MO Dewji walihitaji tu fedha; mjadala waendelea mitandaoni

    Polisi Tanzania: Waliomteka MO Dewji walihitaji tu fedha; mjadala waendelea mitandaoni

    Oct 20, 2018 12:54

    Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) nchini Tanzania Simon Sirro amesema kuwa, watu waliomteka mfanyabiashara mkubwa wa nchi hiyo na Afrika Mohammed Dewji ‘MO’ walitaka kupewa fedha ingawa hakutaja kiwango hicho cha fedha walichokihitaji.

  • Polisi Tanzania: Tumefanikiwa kupata taarifa muhimu za gari lililohusika katika utekaji wa MO Dewji, Zitto na Lema wapinga

    Polisi Tanzania: Tumefanikiwa kupata taarifa muhimu za gari lililohusika katika utekaji wa MO Dewji, Zitto na Lema wapinga

    Oct 19, 2018 12:09

    Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) nchini Tanzania Simon Sirro amesema kuwa polisi ya nchi hiyo imefanikiwa kupata taarifa muhimu juu ya gari lililohusika na tukio la kutekwa nyara mfanyabiashara mkubwa wa Tanzania na Afrika, Mohammed Dewji na kwamba liliingia nchini humo kutoka nchi jirani Septemba Mosi, 2018.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS