-
Umuhimu wa kufanyika Kongamano la 31 la Nyuklia la Iran
May 15, 2025 08:02Kongamano la 31 la Nyuklia la Iran linafanyika katika mji mtakatifu wa Mashhad, na kuhudhuriwa na wasomi wa kisayansi, sekta binafsi na wasomi vijana wa Iran.
-
Iran ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani katika teknolojia ya nyuklia
Nov 04, 2024 02:23Kutokana na juhudi za wanasayansi na wataalamu wake vijana, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hivi sasa ni miongoni mwa nchi zinazoongoza duniani kwa teknolojia ya nyuklia.
-
Mkuu wa AEOI: Iran haina nia ya kuunda silaha za nyuklia
Oct 03, 2023 07:38Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema: Iran haina nia ya kuunda silaha za nyuklia na inachofuatilia siku zote ni nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani.
-
Iran yazalisha bidhaa ya pili ya kimkakati katika sekta ya nyuklia
Aug 23, 2023 02:24Maji mazito ni bidhaa ya pili ya kimkakati ya sekta ya nishati ya nyuklia baada ya uranium duniani na Iran ni moja kati ya nchi tano zinazozalisha bidhaa hii kwa usafi wa hali ya juu kiasi kwamba, nchi nyingi zinatazamia kununua maji mazito ya Iran licha ya vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran: Tunaunga mkono haki ya matumizi ya amani ya teknolojia ya nyuklia
May 14, 2023 06:41Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesisitiza kwamba nchi yake inaunga mkono haki ya kila nchi kutumia kwa amani teknolojia ya nyuklia.
-
Ustawi wa Iran katika teknolojia za nyuklia na anga za mbali
Jan 20, 2023 17:27Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya taarifa na mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (nafasi ya vijana katika ushindi na kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu)
Oct 15, 2022 11:57Matukio na machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamewapa maadui wa Iran fursa ya kuzidisha hujuma za kipropaganda na kisiasa na kutoa tathmini za kupotosha na kupindua hakika na ukweli wa mambo.
-
Kusimama kidete Iran mbele ya vikwazo
Feb 06, 2021 07:36Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalum vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mpainduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yapokea maombi ya kuuza vifaa vyake vya corona katika nchi 40
May 23, 2020 02:42Mkuu wa Kamati ya Kielimu ya Idara ya Kitaifa ya Kupambana na virusi vya Corona nchini Iran amesema kuwa nchi 40 zimetuma maombi ya kutaka kununua vifaa vya kubaini Corona ambavyo vimetengenezwa na Shirika la Kielimu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia ya Iran yaadhimishwa nchini
Apr 08, 2020 08:07Leo Jumatano tarehe 8 Aprili sawa na tarehe 20 Farvardin imepewa jina la "Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia" katika kutambua jitihada za kujivunia za wasomi wa nyuklia wa Iran katika kukamilisha mzunguko wa utengenezaji wa fueli ya nyuklia.