-
Wahajiri 40 wahofiwa kufa maji wakielekea Italia
Jan 17, 2024 07:40Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha wakiwa katika safari ya baharini wakielekea Italia.
-
Watunisia wafanya maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Marekani kuiunga mkono Gaza
Dec 25, 2023 02:41Wananchi wa Tunisia jana Jumapili walifanya maandamano mkabala wa ubalozi wa Marekani katika mij mkuu wa nchi hiyo Tunis, kwa ajili ya kuiunga mkono Gaza. Wananchi wa Tunisia wamekuwa wakiandamana kwa ajili ya kuwaunga mkono raia wa Palestina wa Ukanda wa Gaza na kupinga mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni.
-
Muswada wa kujinaisha uhusiano na Israel wavuka kiunzi cha kwanza Tunisia
Oct 25, 2023 07:36Kamati ya Bunge la Tunisia imepasisha katika marhala ya kwanza muswada wa sheria inayotaka vitendo vya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel kuwa kosa la jinai.
-
Maelfu ya Watunisia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina
Oct 13, 2023 07:13Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano wakionyesha mshikamano wao na wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina sanjari na kulaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Tunisia yakataa msaada wa kifedha wa Umoja wa Ulaya
Oct 05, 2023 03:16Rais Kais Saied wa Tunisia amekataa kupokea msaada wa kifedha wa Umoja wa Ulaya (EU) uliokusudia kupiga jeki bajeti ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, sanjari na kuisaidia kukabiliana na mgogoro wa wakimbizi.
-
Mabalozi wa kigeni wanaoishi Tunisia walaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 04, 2023 06:49Baadhi ya mabalozi wa nchi za kigeni wanaoishi nchini Tunisia wamelaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutoa taarifa ya pamoja kwa mnasaba wa kukumbuka mashambulizi ya anga ya utawala huo dhidi ya Tunisia.
-
Rais wa Tunisia apinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Aug 30, 2023 04:40Rais Kais Saied wa Tunisia amekanusha vikali madai kuwa taifa hilo lina azma ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Maiti 27 za wahajiri zapatikana jangwani karibu na mpaka wa Tunisia
Aug 11, 2023 02:19Mamlaka za Libya zimetangaza habari ya kugunduliwa miili 27 ya wahajiri wa Kiafrika katika jangwa la magharibi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Tunisia.
-
Tunisia yatangaza tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Rais
Aug 10, 2023 06:57Msemaji wa Tume Kuu ya Uchaguzi ya Tunisia amesema kuwa uchaguzi ujao wa raia wa nchi hiyo umepangwa kufanyika katika msimu wa machipuo mwakani kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2014 ambayo haijabadilishwa au kufutwa.
-
Wakimbizi 16 wakufa maji baada ya boti zao kuzama Kaskazini mwa Afrika
Aug 08, 2023 07:32Wahajiri wasiopungua 11 wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika maji wa Bahari ya Mediterrania, pwani ya Tunisia.