-
Siku 100 tangu kukamatwa kwa Ghannouchi, watu mashuhuri 800 wa Kiarabu na Kiislamu wataka aachiliwe huru
Jul 29, 2023 03:36Karibu watu mashuhuri 800 wa nchi za Kiarabu na Kiislamu wametangaza mshikamano wao na Spika wa Bunge lililovunjwa la Tunisia, Rached Ghannouchi, kwa mnasaba wa kutimia siku 100 tangu kukamatwa kwake, na wametoa wito wa kuachiwa huru wafungwa wote wa kisiasa nchini Tunisia bila masharti yoyote.
-
Human Rights Watch: Tunisia inawadhalilisha pakubwa wahamiaji weusi wa Kiafrika
Jul 20, 2023 11:26Shirika la Human Rights Watch limeeleza kuwa askari usalama wa Tunisia wamefanya unyanyasaji mkubwa dhidi ya wahamiaji weusi wa Kiafrika na limetoa wito kwa Umoja wa Ulaya kusimamisha ufadhili wa kudhibiti uhamiaji nchini humo.
-
Mahakama ya Tunisia yawaachia huru wapinzani wawili wakuu wa Rais Saeid
Jul 15, 2023 02:45Mahakama nchini Tunisia imewaachilia huru wapinzani wawili mashuhuri wa kisiasa wa Rais Kais Saied, karibu miezi mitano tangu walipokamatwa kwa tuhuma za kupanga njama dhidi ya usalama wa serikali. Hayo yameelezwa na wakili wa wanasiasa hao Monia Bouali.
-
Wahajiri kadhaa watoweka baada ya boti yao kuzama pwani ya Tunisia
Jul 09, 2023 10:58Wahajiri kumi wameripotiwa kutoweka baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika maji wa Bahari ya Mediterrania, pwani ya Tunisia.
-
Human Rights Watch yaitaka Tunisia kuacha kuwafukuza wahamiaji na kuwaelekeza jangwani
Jul 08, 2023 12:06Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limeihimiza Tunisia kuhitimisha kile ilichokitaja kuwa "Ufukuzaji wa Umati" wa wahajiri weusi wa Kiafrika kuelekea jangwani karibu na mpaka wa Libya.
-
Spika wa Bunge la Tunisia asifu misimamo ya kimapinduzi ya Iran kuhusu suala la Palestina.
Jun 22, 2023 07:08Spika mpya wa Baraza la Wawakilishi la Tunisia ameshukuru na kusifu misimamo chanya na ya kimapinduzi ya Iran kuhusu kadhia ya Palestina na kusisitiza utayarifu wa nchi yake wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kuendelea mgogoro wa Tunisia; kifungo cha maisha kwa Rashid al-Ghannouchi
Jun 13, 2023 02:17Baada ya kupita miezi miwili tangu atiwe mbaroni, Rashid al-Ghannouchi, Kiongozi wa Harakati ya al-Nahdha ya Tunisia, mahakama ya mwanzo wa mji wa Ariana imemhukumu mwanasiasa huyo mashuhuri kifungo cha maisha jela.
-
Rais Kais Saied: Tunisia haitakuwa mlinzi wa mipaka ya Ulaya
Jun 12, 2023 04:40Rais Kais Saied wa Tunisia amesema nchi hiyo haitakubali kufanywa gadi ya mpaka ya nchi za Ulaya, wakati huu ambapo safari za wahamiaji haramu kwenda Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania zimeongezeka.
-
Chama cha Ennahda chaweka masharti kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Tunisia
Jun 04, 2023 05:39Chama chenye mielekeo ya Kiislamu cha Ennahda nchini Tunisia kimetangaza masharti kadhaa kwa ajili ya kufungua ukurasa mpya katika uhusiano wake na rais wa nchi hiyo.
-
Ijumaa, tarehe 26 Mei, 2023
May 26, 2023 01:23Leo ni Ijumaa tarehe 6 Dhulqaada 1444 Hijria sawa na Mei 26 mwaka 2023