-
Muswada wa kujinaisha uhusiano na Israel wavuka kiunzi cha kwanza Tunisia
Oct 25, 2023 04:06Kamati ya Bunge la Tunisia imepasisha katika marhala ya kwanza muswada wa sheria inayotaka vitendo vya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel kuwa kosa la jinai.
-
Maelfu ya Watunisia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina
Oct 13, 2023 03:43Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano wakionyesha mshikamano wao na wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina sanjari na kulaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina.
-
Tunisia yakataa msaada wa kifedha wa Umoja wa Ulaya
Oct 04, 2023 23:46Rais Kais Saied wa Tunisia amekataa kupokea msaada wa kifedha wa Umoja wa Ulaya (EU) uliokusudia kupiga jeki bajeti ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika, sanjari na kuisaidia kukabiliana na mgogoro wa wakimbizi.
-
Mabalozi wa kigeni wanaoishi Tunisia walaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 04, 2023 03:19Baadhi ya mabalozi wa nchi za kigeni wanaoishi nchini Tunisia wamelaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutoa taarifa ya pamoja kwa mnasaba wa kukumbuka mashambulizi ya anga ya utawala huo dhidi ya Tunisia.
-
Rais wa Tunisia apinga kuanzishwa uhusiano na Israel
Aug 30, 2023 01:10Rais Kais Saied wa Tunisia amekanusha vikali madai kuwa taifa hilo lina azma ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Maiti 27 za wahajiri zapatikana jangwani karibu na mpaka wa Tunisia
Aug 10, 2023 22:49Mamlaka za Libya zimetangaza habari ya kugunduliwa miili 27 ya wahajiri wa Kiafrika katika jangwa la magharibi karibu na mpaka wa nchi hiyo na Tunisia.
-
Tunisia yatangaza tarehe ya kufanyika uchaguzi wa Rais
Aug 10, 2023 03:27Msemaji wa Tume Kuu ya Uchaguzi ya Tunisia amesema kuwa uchaguzi ujao wa raia wa nchi hiyo umepangwa kufanyika katika msimu wa machipuo mwakani kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2014 ambayo haijabadilishwa au kufutwa.
-
Wakimbizi 16 wakufa maji baada ya boti zao kuzama Kaskazini mwa Afrika
Aug 08, 2023 04:02Wahajiri wasiopungua 11 wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama katika maji wa Bahari ya Mediterrania, pwani ya Tunisia.
-
Siku 100 tangu kukamatwa kwa Ghannouchi, watu mashuhuri 800 wa Kiarabu na Kiislamu wataka aachiliwe huru
Jul 29, 2023 00:06Karibu watu mashuhuri 800 wa nchi za Kiarabu na Kiislamu wametangaza mshikamano wao na Spika wa Bunge lililovunjwa la Tunisia, Rached Ghannouchi, kwa mnasaba wa kutimia siku 100 tangu kukamatwa kwake, na wametoa wito wa kuachiwa huru wafungwa wote wa kisiasa nchini Tunisia bila masharti yoyote.
-
Human Rights Watch: Tunisia inawadhalilisha pakubwa wahamiaji weusi wa Kiafrika
Jul 20, 2023 07:56Shirika la Human Rights Watch limeeleza kuwa askari usalama wa Tunisia wamefanya unyanyasaji mkubwa dhidi ya wahamiaji weusi wa Kiafrika na limetoa wito kwa Umoja wa Ulaya kusimamisha ufadhili wa kudhibiti uhamiaji nchini humo.