-
Wahajiri haramu 35 wafariki baada ya boti yao kuzama baharini Tunisia
Jun 03, 2018 10:28Wahajiri 35 haramu wamepoteza maisha baada boti yao kuzama baharini nchini Tunisia huku wengine 67 wakiokolewa katika oparesheni ya gadi ya pwani ya nchi hiyo.
-
Jumamosi, Mei 26, 2018
May 25, 2018 21:50Leo ni Jumamosi tarehe 10 ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani 1439 Hijria sawa na tarehe 26 Mei 2018 Miladia.
-
Chama cha Kiislamu cha al Nahdha chadai kushinda uchaguzi Tunisia, matokeo rasmi kutangazwa Mei 9
May 07, 2018 10:42Chama chenye mielekeo ya Kiislamu cha al Nahdha kimedai kuwa kimeshinda katika uchaguzi wa mabaraza ya miji uliofanyika jana Jumapili nchini Tunisia.
-
Uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji Tunisia baada ya kupinduliwa dikteta wa nchi hiyo
May 05, 2018 22:03Uchaguzi wa kwanza wa mabaraza ya miji nchini Tunisia baada ya kujirti mapinduzi ya wananchi yaliyomg'oa madarakani dikteta wa nchi hiyo mwaka 2011 unafanyika leo Jumapili tarehe 6 Mei.
-
Tunisia yawa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la mazungumzo baina ya dini tofauti
May 05, 2018 03:23Kongamano la kimataifa la Mazungumzo baina ya "Dini na Tamaduni tofauti kwa ajili ya Kupambana na Ugaidi" limefanyika katika mji wa Djerba nchini Tunisia na kuhudhuriwa na wasomi wa dini mbalimbali.
-
Indhari ya kiongozi wa harakati ya An Nahdhah ya Tunisia katika kukaribia uchaguzi
Apr 29, 2018 03:29Kiongozi wa harakati ya An Nahdhah ya nchini Tunisia ametahadharisha katika kukaribia kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa kuwa harakati hiyo haitaruhusu kurejea udikteta nchini humo.
-
Tunisia yawazuia wanamichezo wa Israel kuingia nchini humo
Apr 07, 2018 22:48Mahakama moja nchini Tunisia imewapiga marufuku wanamichezo wa taekwondo wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuingia nchini humo.
-
Sisitizo la Rais wa Tunisia la kujitawala kikamilifu nchi hiyo
Apr 07, 2018 22:22Rais wa Tunisia ametangaza kuwa nchi hiyo inajitawala kikamilifu licha ya mashinikizo na matatizo yote yaliyopo na kueleza kuwa Tunisia inajivunia historia yake ya mapambano, kuwa huru na mafanikio iliyopata katika miongo kadhaa iliyopita licha ya matatizo na mashinikizo yote ya ndani.
-
Waziri Mkuu wa Tunisia: Nipo tayari kujiuzulu
Mar 23, 2018 10:04Waziri Mkuu wa Tunisia ametangaza kuwa yupo tayari kujiuzulu wadhifa huo kwa masharti.
-
Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia yapinga kubadilishwa serikali
Mar 18, 2018 03:07Abdulkarim al Haruni Mkuu wa Baraza la Ushauri la Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia amesema kuwa harakati hiyo haiungi mkono ombi la kubadilishwa serikali.