-
Wanachuo wanaosomea utabibu wafanya maandamano nchini Tunisia
Mar 13, 2018 04:31Wanafunzi wanaosomea taaluma ya udakitari nchini Tunisia wamefanya maandamano nje ya ofisi ya Wizara ya Afya wakishinikiza kutekelezewa matakwa yao.
-
Muda wa hali ya hatari waongezwa nchini Tunisia
Mar 07, 2018 04:02Ofisi ya Rais wa Tunisia ilitangaza jana kwamba, muda wa hali ya hatari umeongezwa nchini humo kwa miezi saba mingine. Muda huo ulikuwa unamalizika tarehe 12 mwezi huu wa Machi 2018.
-
Ripoti: Saudia na Imarati zilipanga njama ya mapinduzi Tunisia
Mar 05, 2018 12:59Vyombo vya habari vya Tunisia vimefuchua kwamba Saudi Arabia na Imarati zilipanga njama ya kuipindua serikali ya nchi hiyo.
-
Maandamano dhidi ya Israel yaendelea nchini Tunisia
Feb 19, 2018 12:12Mamia ya wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchini Tunisia kwa mara nyingine wamefanya maandamano wakilitaka bunge la nchi hiyo lifanye haraka kupitisha sheria ambayo itatamka wazi kuwa ni uhalifu kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel
-
Maandamano dhidi ya Israel nchini Tunisia
Feb 18, 2018 04:03Wananchi wa Tunisia wameandamana kuunga mkono rasimu ya sheria ya kupiga marufuku uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mbunge wa Tunisia achana bendera ya Israel ndani ya Bunge
Feb 14, 2018 03:52Mbunge mmoja wa Tunisia amechana bendera ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kuonyesha ghadhabu zake dhidi ya serikali ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ya kutaka kufanya wa kawaida uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Helikopta ya kijeshi yaanguka Tunisia na kuua na kujeruhiwa wanajeshi
Feb 08, 2018 03:40Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Tunisia ametangaza habari ya kuanguka helikopta moja ya kijeshi ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na kuua mwanajeshi mmoja na kujeruhi wengine wawili.
-
Weledi wa mambo: Safari ya Rais Macron nchini Tunisia imeambulia patupu
Feb 03, 2018 00:08Weledi wa masuala ya kisiasa wameitaja safari ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa nchini Tunisia kuwa imeambulia patupu.
-
Jumuiya ya Wafanyakazi Tunisia: Badala ya maneno matupu, malengo ya Palestina yaungwe mkono kivitendo
Jan 21, 2018 11:13Jumuiya ya wafanyakazi nchini Tunisia imetaka kuhitimishwa utoaji sha'ar na miito ya shime katika kuunga mkono malengo matukufu ya Palestina na badala ya kutoa hotuba na taarifa zichukuliwe hatua za kivitendo kuhusiana na suala hilo.
-
Kamanda wa al-Qaeda Maghreb auawa nchini Tunisia
Jan 21, 2018 04:09Maafisa usalama nchini Tunisia wamefanikiwa kumuangamiza kamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la al-Qaeda katika eneo la magharibi mwa Afrika AQIM.